Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

Mpendwa mpostiji siku nyingine ujifunze kwenda na nyakati, hichi kipindi ni kipindi cha kuoa wake za watu, wapenzi wa watu na mama watoto za watu, na mama marehemu za watu hivyo sio kipindi kizuri kwa kufunga pingu za maisha.... Shauri zenu.
 
Hapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
Usimwambie atakuonyesha fake love.
Huyu muondoe mapema tu kwa wazazi akae hata miezi 6 alafu huwasiliani naye Wala nini, yaani hapa unamnyima attention, unaforce yeye akupe attention bila yeye kujua.
Hakikisha yeye ndo anakutafuta alafu jifanye kama humpendi unampa majibu mafupi, atajishtukia.
Kuwa Mwanaume, usiweke mapenzi mbele utakufa kabla ya wakati wako, tumia akili.
 
You are a simp. You have lost your frame.
Stop being a simp and man up.
Leave that woman.
 
Ndugu Ushimen umemaliza kila kitu.
 
Kwa maelezo haya bila shaka ulikurupuka. Kwani ulikaa naye muda gani kabla ya ndoa? Kipindi hicho hukugundua kuhusu social media? Why kwa sababu huko ndio wanawake wengi wanaanika tabia zao?
Kipindi hicho hukugundua mahusiano na shemeji zake? Why hukuona haja hiyo kwa vile alikuwa na mahusiano kabla?
 
Mkwe ni Baba/Mama wa mke wa X.
Mashemeji ni kaka/dada wa mke wa X.
Ndio ulichomaanisha kweli?
 
Oya we mleta uzi mimi sina cha kuongezea hapa... Jamaa ameshamaliza mjadala [emoji419]
 


Ukutaka ishi na mwanamke we mpuuze, safari yako itakuwa ngumu, achana na social media account yake.

Kama una ushahidi na hayo mawasiliano, hiyo ndo issue ambayo hutakiwi kulala usiku mwingine kabla ujaisolve.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…