Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

Pole, pamoja na Changamoto ya mke wako, kuna mahali hujasimama vyema.

Hebu chunguza then speak 🗣️ to her!!
With very Strict conditions.

We Men, kuna namna tuna jilalamikia wenyewe tu, bila kutake action.
 
Hapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
Acha uongo dogo.
 
Mm nadhani uzi ungeishia hapa! Nakazia hapa ndio mwisho, atekeleze hili!
 
Hivi, inakuwaje mwanaume unampenda mwanamke mmoja tu! Kweli! wanawake woote hawa wewe unastick na mmoja tu, hadi unapata shaka kuwa siku moja anaweza kukuacha! NO, man up. Jiongeze.
 
Ha

Sahihi, ndugu Yangu. Nakaanae Nyumba ni Yangu Yeye Anajua tumepanga. Pia nilijenga hiyo Nyumba pasipo kufika site na kiwanja niliagiza ndugu kununua document na picha yangu Anajua Mwenye Nyumba anakaa mkoani kuoa kipengele.
Jitahidi asijue chochote kuhusu milki zako pamoja na mali zako. Yupo kimaslahi na amekudharau. Hivyo the moment atagundua uwezo wako kiuchumi atajirudisha kwako mbio mbio akupige tukio; aombe talaka mgawane mali arudi kwa Ex wake. Anza mchakato wa kuachana nae
 
Unamuingiza cha kike mwenzio
 
Achana naye mapema
 
Kama unajua ndugu za ma x ambao wapo huko socio network..very simple.
Tengeneza account fake,jana taarifa za kike, tumia picha ya mmoja wa wanafamilia..hakikisha unatumia jina la ukoo wa X wake. Omba urafiki. Tulia kinya usikoment page yake. Soma tu
 
Umeongea kila kitu, nadhani huu uzi uishie hapa
 
Pole sana,Kama namuona mkeo atajavyokua anakuwadiwa na mashemeji wa ex wake,uwezekano ni mkubwa kwa yeye kuzaa hata na ex wake.Pole sana,unadharaulika Sana,kaolewa nawewe basi tu,ila chaguo lake la kweli ni ex wake,nadhani na mashemeji zake wanajua.Hapo tegemea kila unalofanya liwe zuri au baya,ex wako atakua anajulishwa kupitia mkeo au mashemeji wa mkeo.Tambua akienda kwai,labda msibani au kusalimia,ex wake atakua anamla.Ndoa ngumu sana.
 
...apambane amrekebishe with time inaweza ikaisha
 
Ushauri Bora sana
 
hili suala ongea na mkeo na ukiona anazidi,ita wazazi wake,akizidi ongea na viongozi wa dini na akizidi,anzisha maongezi ya kuvunja ndoa
 
Mkuu hebu tueleze wakwe zako na wasimamizi wa harusi yenu wanasemaje kuhusu hili sakata.

Au unaona aibu kuwaeleza?

kuna njia muafaka za kuanza utatuzi wa issues za ndoa. Hii yako ni serious matter hivyo waeleze hao watu na ikiwezekana mtafute x wake umkabidhi mkewe maana seems ulitumia nguvu kusambaratisha mahusiano yao.

Kiufupi. Huyo mwanamke hajakupa nafasi moyoni mwake.

Kimbia kabla hawajakuua ili waoane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…