Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

Wewe kama umeoa basi humpendi mkeo

Huwezi shabikia mwanaume mwenzio ampe Talaka mke wake....
Kama Umeoa, utakubaliana namm kwamba mwanaume anahitaji

Heshima Toka Kwa mkewe .
UTII Toka Kwa mkewe.
Upendo Toka Kwa mkewe.
Mapenzi Toka Kwa mkewe .


Kwann ngono ni ya mwisho, Kwa sababu ngono unaweza ipata Kwa Wanawake wengine.

Ila utii Heshima, Upendo, ndio vinavyojenga Familia.


Acha kukaa na janamke kisa linakupa UCHI alafu masuala ya Msingi yanyokupa Amani na na kuonyesha uanaume wako ndan ya familiar MKEO anayechezea.


Mke wa Jamaa anawasiliana na Ndugu wa ex wakez ni waz wameachana Kwa sababu zingine na pengine hata mwanamke anamtoto huko ila kamficha jamaa, na km hana basi bado anaendelea kuliwa huko .


Pili, kufungua akaunti akamblok Mumewe, inatosha tu kumpa Talaka.

Tatu, KUENDELEA kumpost ex wake naaneno ya mahabaz ni kumdharau Mumewe, na ni wazi huyo si Mke, Bali ex anaendelea kumla.




MTOA MADAZ MPE TARAKA HUYO PIMBI HARAKA IWEZEKANVYO.
 
Mkuu huyo mwanamke atabadilika tu naamini ndoa yao bado ni changa sana...

Swali ni kwamba alishawahi kumuona akiwa na huyo X wake kipindi hiki yupo ndani ya ndoa....?

Au alishasikia X wake anakula tena mke wake?
 
Unafuatilia vya nini?
 
Mkuu huyo mwanamke atabadilika tu naamini ndoa yao bado ni changa sana...

Swali ni kwamba alishawahi kumuona akiwa na huyo X wake kipindi hiki yupo ndani ya ndoa....?

Au alishasikia X wake anakula tena mke wake?
Hana haja ya kutafuta kama Ex bado anakula au lah


Kitendo Cha mwanamke KUENDELEA kumpost X wakez maana yake wanamawasiliano.

Kwa ufupi, hata ule usiku wakuamkia sherehe, walikulana
 
Hapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
Hapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
 
hili suala ongea na mkeo na ukiona anazidi,ita wazazi wake,akizidi ongea na viongozi wa dini na akizidi,anzisha maongezi ya kuvunja ndoa
Mahangaiko haya yote ya nin?,ushauri wangu piga chini wanawake wapo wengi
 
Pole mkuu!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Uenda sijaelewa, yaani mke huenda anampima akili mumewe kwa kuwa na side social account ambayo ina husika zaidi na ex-wake, hiyo hapana ni kumtetea mwanamke ambaye sio muaminifu, in short jamaa kabeba bomu anytime litalipuka.
Nb: siku zote mwanamke ni muaminifu wa hisia zake.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio umemshauri sasa..jamani ndoa si lelemama...hivi mtaacha wangapi?...labda ndio hivyoo muendeleze hiyo slogan yenu ya kataa ndoaa....katika real life wenzenu maisha yanaendeleaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…