mke wangu ana mimba,nashindwa kukutana naye kimwili

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?
 
Hahahahahaaaaa ,yaani plato umenichekesha sana wewe endelea kufanya mapenzi na mkeo kama kawaida wala haina neno na wala haihusiani kabisa.sasa usipofanya mapenzi na mkeo kwa miezi tisa unategemea nini kinafata?
utaanza kutoa macho nje na kuharibu ndoa yenu. mimi nina watoto na wakati nina mimba tulikuwa tunafanya mapenzi mpaka mwisho kabisa. Nakumbuka last born wangu nilitoka harusini na mume wangu tukafanya mapenzi asubuhi uchungu ukaanza nikaenda kujifungua salama.
labda kama ana matatizo au anaumwa sana. we endelea tu
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?
 
Dah,yaani unakuwa muoga hivyo! We piga mzigo mpaka siku mtoto anazaliwa as long as mama hapati maumivu na mnatumia positions ambazo hazitamwumiza mama tumbo. Jitahidi bwana uendelee kurutubisha mikono na nyele za mtoto.
Hongera zenu na my wife wako.
 
heee we kaka vp?
u sound chlldsh....
UMEWAI KUOA.hukutakiwa KUOA.

SASA SWALA ILO TU LINAKUTOA NANGA S,KWENYE MAAMUZI MENGNE YA KIFAMILIA KM BABA MWENYE NYUMBA UTAYAWEZA KWELI..??????
MHH hatar sana...ungevuta muda ukue kdg
wa pm asprin,teamo,rr ,dc na wakubwa wengne umu ndan wakupe swaga za kuish,kulala na mengneyo ya kufanya wakat mkeo mjamzito.

once again;UMEWAI KUOA.ULIKUWA BADO AUJAMALIZA UCHAVUSHAJI NA UKUAJI.
 
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?

1. Ww ni mbiiishi sana kwanza unambishia mkeo
2. Una elimu gani? kwa nini usisome hata kwenye google/net? au nenda clinic ukaombe ushauri
3. Labda mkeo kakuzidi experience anaonekana ana ufahamu wa mambo kuliko wewe. Au wewe ni mdogo kwake
4. Inaonyesha huna marafiki waelewa usingelete hii thread hapa jamvini
 
Nadhani ndio ya kwanza Mkuu
lukweli ni kuwa miezi mitatu ya Mwanzo mimba ina weza kutoka kwa sababu moja ama nyingine, sababu zipo nyingi ikiwemo hiyo ya "kumfanya" mkeo
kama wewe umezidiwa sana basi unachoweza kufanya ni kuchapa kwa utaratibu na wala sio kama mwanzo mlivyokuwa mnakunjana kila aina ya umbo na pia mikito yako iwiwe ile ya mpaka mchubuane, just taratibu ili umalize kistaharabu
 
ningekuwa mie ningekutafutia wa kukusaidia tehe tehe🙂
 
Au unaogopa una mzigo mzito nini? mbona style ni nyingi tu! kwani mkeo huwa ana matatizo mimba huwa zinatoka sana?kama ndio usifanye ila kama hana tatizo wewe endeleza tu.tena changa hata foki cha ndeme unafanya tu
 
aisee usiogope kula tunda, usimlalie tu mweke pozisheni nyingine na aendelea kufaidi tunda
 
Aaah mwezi mmoja unamlalia bana! nyie watu.........mimba iko sehemu nyingine kwenye mji wake na huko mlango UMEFUNGWA rudini mkasome baolojia upya!
 
Dah,yaani unakuwa muoga hivyo! We piga mzigo mpaka siku mtoto anazaliwa as long as mama hapati maumivu na mnatumia positions ambazo hazitamwumiza mama tumbo. Jitahidi bwana uendelee kurutubisha mikono na nyele za mtoto.
Hongera zenu na my wife wako.

Hilo la rutuba is it biological proved if not then :car::car::car:
 
aaah mwezi mmoja unamlalia bana! Nyie watu.........mimba iko sehemu nyingine kwenye mji wake na huko mlango umefungwa rudini mkasome baolojia upya!

hiyo biologia ya wapi ndugu yetu? Maana mume aweza fanya mapenzi na mkewe kwa usalama mpaka miezi sita ya mimba ili mradi tu afuatilie vizuri mikao inayotakiwa.
 
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?

Mkuu! hapa ndipo umuhimu wa elimu ya jando unapokuja!
 
sio miezi sita tu! hadi tisa inawezekana
hiyo biologia ya wapi ndugu yetu? Maana mume aweza fanya mapenzi na mkewe kwa usalama mpaka miezi sita ya mimba ili mradi tu afuatilie vizuri mikao inayotakiwa.
 
Piga mzigo brother urutubishe kiumbe, acha kuremba shamba lenyewe bila mbolea halieleweki au unataka mtoto atoke bila maskio na vidole, kuanzia leo anza kurutubisha.
 
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?

Duh mshikaji umetuvunjia heshima.

Yaani we kwenye maandalizi ya ndoa ulikuwa unafanya nini sasa? Jitahidi kuwa mdadisi wa mambo usiyoyajua muda muafaka yaani wakati ujiaandaa kuoa ulitegemea nini?

Poa washikaji wamekushushia nondo. Endelea kumpa raha mkeo.
 
Unajua wanaume wengine husingizia kama huyu jama kumbe ni kigezo cha kula nje. Maana akila nje akirudi mbona huli atakuwa na chakujitetea. Maana akisema ameshiba wakati msosi upo home watamshtukia. Geresha tupu hapa. Mwanaume gani asiye jua hilo. Acha vizingizio.
 
Back
Top Bottom