Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?