wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?

aisee usiogope kula tunda, usimlalie tu mweke pozisheni nyingine na aendelea kufaidi tunda
Dah,yaani unakuwa muoga hivyo! We piga mzigo mpaka siku mtoto anazaliwa as long as mama hapati maumivu na mnatumia positions ambazo hazitamwumiza mama tumbo. Jitahidi bwana uendelee kurutubisha mikono na nyele za mtoto.
Hongera zenu na my wife wako.
aaah mwezi mmoja unamlalia bana! Nyie watu.........mimba iko sehemu nyingine kwenye mji wake na huko mlango umefungwa rudini mkasome baolojia upya!
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona ni hatari.naomba wakubwa na wenye uelewa wanisaidie juu ya nini nifanye.je mpaka azae ndo tuendelee na tendo hilo? Je kuna madhara katika hilo? Na je kama tuendelee ni lini kuna hatari katika hilo?
hiyo biologia ya wapi ndugu yetu? Maana mume aweza fanya mapenzi na mkewe kwa usalama mpaka miezi sita ya mimba ili mradi tu afuatilie vizuri mikao inayotakiwa.