janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
Wana Jf wenzangu mwenzenu,
Mke wangu ana matatizo ya uzazi mwaka jana mwezi wa nne alifanikiwa kupata uja uzito, lakini baada ya ujauzito kufikisha miezi miwili tumbo likaanza kumuuma pamoja nakujaa ujauzito ulipofikisha miezi mitano ukatoka baada ya hapo alikaa miezi mitatu bila kupata hedhi alipoanza kupata hedhi tukaendelea na jitihada za kutafuta mtoto.
Lakini ikashindikana wakati huo tumbo bado linamsumbua ikabidi niende hospitali wakamsafisha kizazi wakidai ni kichafu wakampa vidoge vya kuboost mayai ili apate uja uzito mwez uliofata holla tukasubiri mwezi mwingine.
Cha kushangaza mwezi uliofata akapata hedhi mara mbili yani tarehe 1 hadi 5 halafu akapata tena 17 hadi 23 mwezi huohuo sasa hivi tumbo linamjaa na linakuwa gumu kama mjamzito na huwa linaisha wakati mwingine kingine ni kwamba huwa anapata maumivu wakati wa sex msaada najua huku tunao madaktari.