Mke wangu ana tatizo la uzazi

Mke wangu ana tatizo la uzazi

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Wana Jf wenzangu mwenzenu,

Mke wangu ana matatizo ya uzazi mwaka jana mwezi wa nne alifanikiwa kupata uja uzito, lakini baada ya ujauzito kufikisha miezi miwili tumbo likaanza kumuuma pamoja nakujaa ujauzito ulipofikisha miezi mitano ukatoka baada ya hapo alikaa miezi mitatu bila kupata hedhi alipoanza kupata hedhi tukaendelea na jitihada za kutafuta mtoto.

Lakini ikashindikana wakati huo tumbo bado linamsumbua ikabidi niende hospitali wakamsafisha kizazi wakidai ni kichafu wakampa vidoge vya kuboost mayai ili apate uja uzito mwez uliofata holla tukasubiri mwezi mwingine.

Cha kushangaza mwezi uliofata akapata hedhi mara mbili yani tarehe 1 hadi 5 halafu akapata tena 17 hadi 23 mwezi huohuo sasa hivi tumbo linamjaa na linakuwa gumu kama mjamzito na huwa linaisha wakati mwingine kingine ni kwamba huwa anapata maumivu wakati wa sex msaada najua huku tunao madaktari
.
 
usilee maradhi mpeleke kwa wataalamu wa mambo ya wanawake
 
pole sana kaka.......mpeleke kwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake atapata tiba. Kama upo dar mtafute doctor anaitwa KIPANGA huwa anakuwa ktk hospitali tofauti kama vile Burhani ya posta
 
kupata msaada zaidi, ipeleke mada yako jukwaa la JF Doctor, lakini pia urekebishe na hiyo title yako ili upate msaada zaidi. Hiyo "hi" uliyoiweka hapo wengi wanaweza jua umeamua kusalimia tu wakaupotezea uzi kumbe una tatizo kubwa linalohitaji msaada. Mods msaidieni kuuhamisha huu uzi na kuubadilisha title of possible.
 
janjab

Poleni sana dear ... please read my PM then naomba unijulishe if you need anything that I can do to help you .. Pole sana .. msife moyo hakuna kisichowezekana okay.. MPE pole sana na mkeo ... Thanks..
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana. Jaribu na tiba za asili. Mpigie Dr. J. Mwaka na kwa ushauri pia.
0767 600 600
0762 400 400

Wana Jf wenzangu mwenzenu,

Mke wangu ana matatizo ya uzazi mwaka jana mwezi wa nne alifanikiwa kupata uja uzito, lakini baada ya ujauzito kufikisha miezi miwili tumbo likaanza kumuuma pamoja nakujaa ujauzito ulipofikisha miezi mitano ukatoka baada ya hapo alikaa miezi mitatu bila kupata hedhi alipoanza kupata hedhi tukaendelea na jitihada za kutafuta mtoto.

Lakini ikashindikana wakati huo tumbo bado linamsumbua ikabidi niende hospitali wakamsafisha kizazi wakidai ni kichafu wakampa vidoge vya kuboost mayai ili apate uja uzito mwez uliofata holla tukasubiri mwezi mwingine.

Cha kushangaza mwezi uliofata akapata hedhi mara mbili yani tarehe 1 hadi 5 halafu akapata tena 17 hadi 23 mwezi huohuo sasa hivi tumbo linamjaa na linakuwa gumu kama mjamzito na huwa linaisha wakati mwingine kingine ni kwamba huwa anapata maumivu wakati wa sex msaada najua huku tunao madaktari
.
 
pole sana kaka.......mpeleke kwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake atapata tiba. Kama upo dar mtafute doctor anaitwa KIPANGA huwa anakuwa ktk hospitali tofauti kama vile Burhani ya posta

upo very ryt...kipanga is the bst..skuu ya j4 na alhmc hua hindu... au amuone dr mashavu hapo hapo hindu j3 na ijm....
 
Pole sana.Tafuta Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama. hili ni tatizo kubwa sana kwa akina mama wengi tokana na changamoto nyingi za karne hii. Lakini kwa dalili ulizotaja inawezekana akawa na uvimbe ktk sehemu ya kizazi. lakini je Alisha cheki kwa kama ana uvimbe au la? naomba usijali gharama hapo kama una uwezo tafuta daktari bingwa na litaisha na utapata mtoto maana kuna wengi walikuwa na matatizo hayo na walipona na kupata watoto.
 
Back
Top Bottom