Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

Hakuna cha kutokea Wala nini janja janja tu hizo, Mimi kwangu hapana kabisa nakwambia ukithubutu ndo utanijua kuwa mi ni Idi Amini, Mobutu au Hitler.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Punguza mikwara..hujapata wa kukukazia wewe..mbona utaomba poo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwakweli..
Nina Dada angu alikua anamuasha mumewe kwenda kula chips za kariakoo saa sita usiku🀣🀣
Aaahh waaapiii huyo alikuwa anaenda Kwa mchepuko tu huyo Kwa kisingizio cha mimba hamna lolote hapo na tena awe makini yawezekana hiyo mimba ni ya huyo muuza chips huko ohoo 🀣 nyie sio wakuwaamini nyie.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Punguza mikwara..hujapata wa kukukazia wewe..mbona utaomba poo
πŸ˜‚πŸ˜‚ We hunijui wewe sio mikwara mi ndo nilivo ujinga huo kwangu haufanyiki hata kidogo amini nakwambia.
 
Aaahh waaapiii huyo alikuwa anaenda Kwa mchepuko tu huyo Kwa kisingizio cha mimba hamna lolote hapo na tena awe makini yawezekana hiyo mimba ni ya huyo muuza chips huko ohoo 🀣 nyie sio wakuwaamini nyie.
🀣🀣🀣🀣Walaaa si mchepuko...na Shem alikua anampeleka..kutoka mivinjeni kurasini to kkoo daily..na huezi amini mtoto kazaliwa shemeji mtupu
 
🀣🀣🀣🀣Walaaa si mchepuko...na Shem alikua anampeleka..kutoka mivinjeni kurasini to kkoo daily..na huezi amini mtoto kazaliwa shemeji mtupu
Mmh πŸ˜‚ basi huyo itakuwa tu kajiokotea bwege lake anajipigia tu ila Mimi binafsi kuwezi kunizeveza ki bwege bwege namna hiyo kiukweli!!.
 
Sasa kwanin hakutumia kilinge kuadhibu kenge woote walioharibu usingizi wake? [emoji23]
Hapo sasa ndio utajua kwanini waganga wanaotoa ndagu ili mtu atajirike ila yeye hajawahi kutajirika[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mabadiliko ni lazima kwa miezi ya mwanzo na kutapika hawez kujitapisha huja automatic ila ilo la kutokufagia naona ni jipya aisee sema mimba zinazokuwa na baba wapo karibu zinasumbua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli mkuu, huu usumbufu huwezi kuusikia kwa mwanamke aliyeipata pasipokuwa na mume/ameolewa mf: Mwanafunzi, Beki 3
 
Hehehee!! Yabidi nikutafute mdogo wangu mana umeshanitamanisha kujua hayo uliyojionea nina hakika yalishapita salama.

Shukran mnoo nami nakupa hi. Acha kabisa huu ubusy M'Mungu ndo anajua.

Hapa nishakuwa Eksipati, nimepita kwenye tanuri na moto nimenolewa.

Yashapita salama, sasa ni ukurasa mwingine wa kumfurahia Junior hasa akifikia hatua ya kutabasamu pindi unapomuimbia[emoji23][emoji23][emoji23]

Salamu zimefika na kupokelewa kwa moyo mkunjufu na furaha tele.
 
Ni kweli akiwa na shida serious nitafanya majukumu yangu ila sio ujinga wa kunifukuza nyumbani sijui ooh mara sijui kaninunulie kuku wa mbagala kule hawa wa tandale Kwa tumbo siwataki. Ooh mara nini sijui !!

Wee nani kasema πŸ˜‚
🀣🀣🀣
 
Hapo sasa ndio utajua kwanini waganga wanaotoa ndagu ili mtu atajirike ila yeye hajawahi kutajirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasemaga mimk dar es Salaam hakuna mganga, na wala mganga hawezi kutokea moshi. [emoji23]
 
Nasemaga mimk dar es Salaam hakuna mganga, na wala mganga hawezi kutokea moshi. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Michongo imetamalaki mjini
 
Mm nilikuw naamshwa usiku ninywe maji ya moto eti ananiambia ni matamu na mm ninywe

Ukiangalia ndio nimerudi nimejishindilia makonyag kama yote yaan alafu eti naamshwa ninywe maji ya moto kwelii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…