Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

Acha stress mzee, operation ya cyst removal ni operation ndogo tu naweza ifananyisha na procedure ya kuondoa jipu, wala haihusiani na kizazi wala kupata au kukosa mtoto, siku hizi mkikosa mimba acheni ku bumba bumba, kuna fertility clinic kibao hapa nchini mfano wake ni ile kairuki fertility clinic na dar ivf fertility clinic nyingine nulife fertility centre, mak ivf advanced fertility and martenity clinic hizi zote ni za dar wanauwezo hadi wa kupandikiza mimba, bei siku hizi zimeshuka mimba sio ishu tena
 
Kama mkeo ni mwoga wa operation za kawaida nenda NuLife Advanced Fertility Centre, hao jamaa wanafanya operation zile za kupitia tundu dogo bila kuchana tumbo zima, pia ni one centre wanapandikiza mimba kwa ivf, mimba siku hizi sio ya kuitafuta kwa stress nenda kwenye teknolojia, zaman watu waliisafilia hii teknolojia mpka afrika kusini
 
Cha msingi mpeleke atibiwe ili awe salama, hayo ya kupata mtoto litakua ni jambo jingine, unawaza kumtibu mtu ilihali hata kizazi kikigoma utazaa na mwanamke mwingine, we peleka mkeo haraka afanyiwe upasuaji asije akaathirika zaidi
 
Mmepona mliokuwa mnaugua hilivtatizo na ipi mlitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…