Hata mara moja moja jamani?acha kumgegeda
Waanze wote siyo mke tuaanze clinic na amuone na daktari watampima na watamshauri
wazo zuri akienda mwenyewe clinic atamzenguaWaanze wote siyo mke tu
Sent from my TV
njia inatakiwa kufunguliwaacha kumgegeda
Siku hizi kama umepata ujauzito toka kwa mme wa mtu na jamaa hataki kwenda clinic inabidi upate barua ya serikali ya mtaa...sijui hiyo content ya barua ikoje[emoji12]wazo zuri akienda mwenyewe clinic atamzengua
ha haha unasema mume kafa sijui ha hahahaSiku hizi kama umepata ujauzito toka kwa mme as mtu na jamaa hataki kwenda clinic inabidi upate barua ya serikali ya mtaa...sijui hiyo content ya barua ikoje[emoji12]
Sent from my TV
Du....mtatuua hadi inaonekana nchi ya wanawake tuha haha unasema mume kafa sijui ha hahaha
hahaha ndiyo mjiongezeDu....mtatuua hadi inaonekana nchi ya wanawake tu
Sent from my TV
Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo, ila je kuna namna ya kupunguza makali?
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππPole sana Mbebesha Mimba Mkuu na usihofu hilo ni jambo la kawaida sana hasa kwa Wanawake wajawazito ila tu nakuaomba / nakuasa sasa punguza kumpiga Paipu au mpige Paipu la ado ado tu na usikandamizie kama vile unamtaka arudishe Chenji.
Mpeleke hospital ndugu.Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo, ila je kuna namna ya kupunguza makali?
Sent using Jamii Forums mobile app