Mke wangu ana.....

Mke wangu ana.....

blanketyy

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
31
Reaction score
13
Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo, ila je kuna namna ya kupunguza makali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeleke hospital afanyiwe uchunguzi usichukulie kawaida kila jambo, mwanamke ni sensitive sana akiwa mjamzito.
 
hizo ni kawaida ! tena kawaida sana tu utazunguka kooote hakuna cha unafuuu ! mie huwa natapika had 9mths na kichwa kuuma sna kwa miez yote hyo !kwakweli kuwa na mimba ni jehanum (in mbiti's thought)
 
Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo, ila je kuna namna ya kupunguza makali?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana Mbebesha Mimba Mkuu na usihofu hilo ni jambo la kawaida sana hasa kwa Wanawake wajawazito ila tu nakuaomba / nakuasa sasa punguza kumpiga Paipu au mpige Paipu la ado ado tu na usikandamizie kama vile unamtaka arudishe Chenji.
 
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom