Asante kwakunipa moyo.hizo ni kawaida ! tena kawaida sana tu utazunguka kooote hakuna cha unafuuu ! mie huwa natapika had 9mths na kichwa kuuma sna kwa miez yote hyo !kwakweli kuwa na mimba ni jehanum (in mbiti's thought)
Asante.Mpeleke hospital afanyiwe uchunguzi usichukulie kawaida kila jambo, mwanamke ni sensitive sana akiwa mjamzito.
Asante sana sana, God bless.mtafutie ginger biscuits , au tangawiz yenyewe awe anatafuna kila mara na apples huwa inasadia nayo pia ! nunua vya kutosha !akiamka asbh atafune biscuits ya ginger au ae apple!