Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Juzi huko fb nimemu-wish mke wa wenyewe heri ya siku ya kuzaliwa akanijibu "Thanx my dear" huo moto nimeuona huko inbox toka kwa mumewe. Sasa jamani wadada unaniita mwana wa mwanamke mwenzio ambaye si mumeo jina ambalo mara ya mwisho ulimuita mumeo kipindi cha "honeymoon" hiyo ni haki kweli!? Hata mimi nikiwa mume sikubali. Mkuu ni haki yako kumtia adabu kidogo huyo.
 
Bro chukua hiyo namba then isave kwenye simu yako alafu angalia imwsajiliwa kwa jina gani la kike au la kiume, haitoshi mpigie jifanye umekosea namba stage ya kwanza hiyo ili kujua ni wa ke au me ukilinganisha na jina alilosave
 
Kwisha ....too late ...jamaa anakula kitumbua chako ...ila tulia ukusanye ushahidi zaidi under extreme pressure dont panic
 
Mkuu kwanza unaanzaje kushika simu ya wife??huo muda unautoa wapi??lakini kama umeshika NAKUUNGA MKONO 100%...Washa mto wa kufa mtu kabla neno My halijabadilika na kuwa honey...darling...mpenz
 
Lakini pia kuna udhaifu kwako...huyo mkeo anaanzaje kuchat na njemba nyingine..inaonekana haupo karibu nae kihisia ndio maana anapata kampani kwa hilo jamaa...wewe umeshawahi kuchat na mkeo ukiwa umetoka??au kwa kuwa ushaoa ndio basi tena romance imeisha??wanawake wanataka hata kama umeshaoa uwe kama unatongoza upya... unampa maneno matamu na kupiga show za nguvu mpaka akose muda wa wa kuchat ndio itakuwa njia pekee ya kumfanya aone wanaume wengine ni viazi tu
 
Shost wa kiume sasa? We na wewe usinipotoshe nichukulie poa nijikute manyoya kuku kashaliwa.
Wanawake wanamtindo wakuitana sana My...nadhani pia wewe ni mhuni Mkubwa sana wakupindukia sana sana ndio maana unamtilia shaka Mke wako...wewe siulifumaniwa na mtoto Wa baba yako Mkubwa anayeitwa Prisila au unakataa
 
Mhhhh!

Wanawake wanamtindo wakuitana sana My...nadhani pia wewe ni mhuni Mkubwa sana wakupindukia sana sana ndio maana unamtilia shaka Mke wako...wewe siulifumaniwa na mtoto Wa baba yako Mkubwa anayeitwa Prisila au unakataa
 
endelea kuumia tu hapa nimemkanyaga mke wa mtu now roho nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…