Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]My Bashite [emoji23] [emoji23]
My mambo?upo?[emoji1]Aisee huu uzi umenifurahisha mnoo yaan
Nooooooooo, my haina maana hiyo tu. My hutumiwa na watu kumaanisha urafiki. Wadada wengi huitana hivyo, lakini pia mdada anaweza itana na mkaka jina hilo wakiwa ni marafiki mathalani ofisini. Utakuta wanasaidiana vitu kadhaa in good faith. Lakini wababa hatuwezi itana my. Sisi huitana Mshikaji, ,mwana, Rafiki, kiongozi, mkuu, mheshimiwa n.kSo jamaa nae anamiliki mke wangu au? Ujue nazidi kupanic yaani
My[emoji23] [emoji23]Aisee huu uzi umenifurahisha mnoo yaan
Ushauri mzuriKwa mantiki ya Chats zao, MY humaanisha WANGU.
Ni neno la kawaida sana kutumika baina ya jinsia ke. Lakini pia linaweza kutumika baina ya jinsia ke na me.
Sasa kuitana huko sijajua wana lengo gani. Ila kwa experience yangu, ke na me wakiashaanza kuitana "my" basi uwezekano wa kukutanisha vikojoleo ni mkubwa.
Cha msingi, we muambie tu aache tabia hiyo. Kama umekuta salamu na wishes za mlo mwema, basi hiyo my yao haijawa Chronic bado. Ipo katika hatua za awali.
haaa ha ha...mjingaa sana wewee..Hamchelewi kuingizana kwenye JABA nyie
HowPole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Mkuu ulifikiria nn kujiita hilo jina maana lipo kama mzizi wa dawaKaka kuwa makini sana wanawake wanamambo mengi pengine nishost yake usije ukakosana na Mke wako
Mabinti wa mjini wakitongozwa hawasemi nimekubali ila utasikiaMkuu dem huwa kama nimemtongoza then akiniita kwa sms My huwa tayari kanikubli kinachobaki ni siku ya kula mzigo.
Ten usilaze damu mkuu mkeo ataliwa very soon.
Take action