Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Hahaaa..huu Uzi umenifurahisha sana...Hahaaa.
 
Huenda jamaa naye anamuogopa mke wake,maana sijaona hata sehemu moja alipoandika kama ameshawahi kuongea na mke wake juu ya huyo my,na usikute wewe kama mume hata siku moja hajawahi kukuita" my" sasa wewe kama mume lazima ujiulize kunanini ???
Kwa style hyo ya maisha unatarajia nini ??? na Amini !!!! Aminii !!!!Na kwambia hapo kuna kitu kizito kimejificha kati ya mkeo na hyo my na usipo kuwa makini ndoa lazima ivunjike
 
Mimi sipo sana kwenye hyo my, bt nlchokiona hapo mkuu chkua tahadhari maana hizo zakutakiana chakula chema mara kwa mara c dalil nzuri, hata wanawake kwa wanawake mara chache sana htakiana mlo mwema, iwe ke&me!!
 
Umeuza hisa brother!! Ukute hata lunch anatolewa...maana makazini wake za watu wanapata vishawishi sana hasa akiwa mzuri sura na umbo!!
Nilifanya kazi sehemu huko Mby, aisee wanaume sie tunawatia majaribuni sana Wanawake.... Lunch, lift, utani, mizaha, mitoko nk yani waume zao wangekuwa wanajua..dah sijui wangeamuaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…