Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Siwezi panic ila huo ni upotoshaji...maana utawafanya vilaza waenda kufanya jaribio hilo nakukuta ile verification code inatimwa kwa njia ya sms kwa mke/mme wake sasa sijui ataipataje?
na hata kama akiipata inamaana ile whatsapp katika simu itakuwa inactive...
We ni mshamba, google kitu kinaitwa whatsapp web then ufute post zako za mwanzo!
 
Hapo kikubwa ni kumuombea tu ili aache njia zake mbaya, kuna asilimia ndogo sana ya uaminifu katika ndoa nyingi au mahusiano. Ukihoji utaombwa msamaha lakini biashara itaendelea kama kawaida maana mpaka alipokubali kuingia kwenye uhusiano mpya ujue kuna kilichomvutia au kumshawishi.
This is very true, once a cheater always a cheater!
 
Aisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu.

Sasa leo weekend nipo kitandani nimeshika simu yake aisee! Kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".

Hapa nilipo nimeshapanic japokuwa wanasalimiana tu na kutakiana chakula chema ila kimenishangaza hicho kibwagizo chao cha kuitana "My" nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".

Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.

NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Pole sana
 
Na wewe tafuta My wako 🤣🤣🤣🤣
 
Ndio huyo my wake, muwahi mpige marufuku na muoneshe unafaham. Akigoma akute mabegi getini
 
Beware
Na mwanamke akitokq amependa brother,relazx tafuta evidence
Kumbuka sheria za kikao,mwanamke aliecheat hasamehewi?
 
Back
Top Bottom