Mke wangu anachukia tendo la ndoa

Mke wangu anachukia tendo la ndoa

unaju NDUGU yangu hata mimi ishawahi kuni tokea kwa mpenzi wangu ila kuna sababu nyingi pia zinachang
1.ayawahi kufanya mapenzi kwa mda mrefu
2, Condom unazotumia yaweza kuwa tatizo
lakini vp ukiutaka kufanya nae anakubali then anaumia au ataki we ndo una mlazimisha
 
Kijana kama huyo mwanamke yupo mbali na wewe, jua kwamba huko alipo either kuna mtu anayemtimizia mahitaji yake vilivyo ndio maana akirudi kwako huwa mchovu au ajisikii kufanya mapenzi na wewe. Pili either mapenzi yako ni ya kukandamizia, mwanamke lazima umuandae ili utelezi upatikane, kama dhakari yako ni kubwa basi mwanamke mwenyewe atakuambia tu kwamba inataka kutokea mdomoni, mi nahisi mandalizi ni mabovu.... mkishaoana kila kitu mnaweka wazi.... mh.mwanamke ukimuonea haya uzai nae.
 
cdhan kama naibiwa kiukwel cz wife anaiman sana na hata nakshnda kutwa na cm yake sana kapgiwa n mama au baba ake haijawah kutokea nkkamata msg au k2 chochote kiukwel anajhshm,then anaujauzito huwenda ikawa n kikwazo pia?
 
Hiyo hali inatokea kwa mpenz wangu..
Yeye anasema huwa anaumia mwanzoni ninapoanza kuingiza uume na mwishoni pale namaliza na kutoa..
 
Back
Top Bottom