Okechuku33
Member
- Dec 30, 2015
- 78
- 30
Mimi mwenyewe nimeshangaa,halafu wanawake wana huruma sana,unawezaje kuolewa na mtu dizaini ya mleta mada,no wonder hata kadi ya mtoto imeandikwa jina lingine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kuoa siku hizi ni rahisi kiasi hiki[emoji134][emoji134][emoji134]
HahahaaaUna uhakika huyo unayemzungumzia ni mke wako Mkuu?
Jamaa hayuko sawaHahahaaa
Kanichekesha sana. Adi nmetamani nijue umri wakeJamaa hayuko sawa
Atakuwa amepewa mke baada ya kufumaniwa.Kanichekesha sana. Adi nmetamani nijue umri wake