Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mimi mwenyewe nimeshangaa,halafu wanaeake wana huruma sana,unawezaje kuolewa na mtu dizaini ya mleta mada,no wonder hata kadi ya mtoto imeandikwa jina lingine.
we pimbi kweli, angefanya mke wako hivyo ungejiskiaje , halafu unasema wanawake wana huruma, huruma my ass, mwanaume mwenzio kaja kuomba ushauri wewe unaongea faken stories hapa,
wanawake wa hivyo unapiga risasi tu, na wanaume ambao mnasapoti ujinga kama wewe ni wa kuchinjwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee kumbe dizaini ya mleta mada mko wengi, kweli kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani.
 
Kadi la kliniki lina jina la mtu mwingine, wewe bado unasema ni mke wako!?
Ni kwamba definition ya mke imebadilika au? , hapo ushakuwa kaka yake au jirani yake, whichever comes first,
Back to square one , Tafuta mke!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan unashindwaje kumuuliza mkeo kwa utashi wako uliojaaliwa mpk ukamuulize mama mkwe,uyo mama mkwe amekuona kilaza kweli kweli ndo maana ata anaujasiri wa kukujibu atakavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina la mjomba wake kwan ulimuowa ww au alimuowa mjomba wake?

Sent using GunTrigger
 
Mlivutana tu kuishi au ???

Kwaiyo muda wote wa ndoa hujui Mjomba wa mkeo anaitwa nani ??.

Yaan nakwann alikua anakuficha kadi ???

Heri kuoa Mwanamke ulomkuta na mtoto, kuliko kuishi na mwanamke ulomuoa, kisha akabeba mimba ya MTU.

Yaan sio tu kakusaliti, Bali kakubebea na kiumbe kama Alama ya usaliti ?

Kuna MTU atakuja hapa kukuambia, kwani wewe Mkuu Hujawahi saliti? Huu utopolo usikubaliane nao .

KWAUFUPI, HAUTAKAA TENA UWE NA AMANI KTK KIPINDI CHOOOOTE CHA UJAUZITO WAKE, KIPINDI CHOOOOOTE CHA MAISHA YAKO .

Maisha ni uchaguzi !!.

Fukuza uyo Mpuuzi kwa sababu Hamna jibu litakalokupa Imani .
 
Mkuu sasa jambo kama hilo ndiyo unauliza kweli? Tuache kwanza tupambane na covid-19 maana hapo majibu unayo
 
Back
Top Bottom