Alimvizia alipoenda chooni ndiyo akafukunyua mkoba
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Kasema alipoiona alikuta jina jingine, hivyo alivizia maana waligoma kumuonyesha mke na mama yakeSasa mbona anasema alipotaka kuona card wana.zungusha,,maana yake hakuliona,,,,na hakuna mahala alipoelezea kama alipekenyua mkoba....hili ni post fikirishi sn
Maelezo ya aliona card hayapo soma vzr huo Uzi wake,,usipunguze neno wala kuongeza nenoKasema alipoiona alikuta jina jingine, hivyo alivizia maana waligoma kumuonyesha mke na mama yake
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Niliambiwa limeandikwa Jina la Mjomba wake!Mkuu umesema mkeo anadai ana ujauzito wako,,na kadi la clinic limeandikwa jina la mtu mwingine,, na unasema kila ukitaka kuliona hilo card unapigishwa chenga,,,Mimi Nina swali fikirishi kwako....uliposema card imeandikwa jina la mtu mwingine hilo card uliliona vipi? na unaposema kila ukitaka kuliona card wanakupigisha chenga maana yake hilo card hukuwahi kuliona?. sasa ulijuwaje kama kaandikwa mtu mwingine? na card hukuliona,,,Mimi nashangazwa na maelezo yako mkuu..jitafakari..Leo nakwenda kama makachero wa Scotland yard...
Wewe ni mume halali? Yaani umeoa kwa taratibu zote na unaishi na mkeo?Niliambiwa limeandikwa Jina la Mjomba wake!
Na ndio maana nilipotaka kuliona walikua wananizungusha!
Huyu mwenzenu kaamua mwenyewe kujidharauKuna Wanawake wana dharau kiasi ichi kumbe
Kwahiyo mtoto ni wako?Niliambiwa limeandikwa Jina la Mjomba wake!
Na ndio maana nilipotaka kuliona walikua wananizungusha!
" Mtoto ni wangu! Cause kufanana nimefanana nae kupitiliza! Ila kwa sababu kashapewa Ubini wa mtu mwingine mimi nimeamua kuachana nae tu cause mtoto hata kama umefanana nae vipi, kama mama kashakwambia si wako basi si wako huyo cause yeye ndo anajua baba halisi wa mtoto. So kama kapewa kweli huo ubini wa mjomba yake haya mimi nimemuachia mwenye ubini wake ndo ahangaike nae! Na yule mwanamke nimekwisha kuachana nae yupo na khamsini zake nami naendelea na zangu! Kama ni Damu yangu kweli itarudi tu, laakin kama si ya kwangu hatakama niipambanie vipi haitarudi! Hayo ndo maamuzi niliochukua mpaka sasa! "Kwahiyo mtoto ni wako?
et mke wake hahaha boya kweliKwaiyo mkuu unataka tushauri nn hapa kama si kutukosea adabu wanaume hivi nyie wavulana mnamatatizo gani lkn! kwann mnakimbiliia kuoa huku akili hazijawakomaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo mkuu unataka tushauri nn hapa kama si kutukosea adabu wanaume hivi nyie wavulana mnamatatizo gani lkn! kwann mnakimbiliia kuoa huku akili hazijawakomaa?
Sent using Jamii Forums mobile app