Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Sasa mbona anasema alipotaka kuona card wana.zungusha,,maana yake hakuliona,,,,na hakuna mahala alipoelezea kama alipekenyua mkoba....hili ni post fikirishi sn
Kasema alipoiona alikuta jina jingine, hivyo alivizia maana waligoma kumuonyesha mke na mama yake

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umesema mkeo anadai ana ujauzito wako,,na kadi la clinic limeandikwa jina la mtu mwingine,, na unasema kila ukitaka kuliona hilo card unapigishwa chenga,,,Mimi Nina swali fikirishi kwako....uliposema card imeandikwa jina la mtu mwingine hilo card uliliona vipi? na unaposema kila ukitaka kuliona card wanakupigisha chenga maana yake hilo card hukuwahi kuliona?. sasa ulijuwaje kama kaandikwa mtu mwingine? na card hukuliona,,,Mimi nashangazwa na maelezo yako mkuu..jitafakari..Leo nakwenda kama makachero wa Scotland yard...
Niliambiwa limeandikwa Jina la Mjomba wake!
Na ndio maana nilipotaka kuliona walikua wananizungusha!
 
Kwahiyo mtoto ni wako?
" Mtoto ni wangu! Cause kufanana nimefanana nae kupitiliza! Ila kwa sababu kashapewa Ubini wa mtu mwingine mimi nimeamua kuachana nae tu cause mtoto hata kama umefanana nae vipi, kama mama kashakwambia si wako basi si wako huyo cause yeye ndo anajua baba halisi wa mtoto. So kama kapewa kweli huo ubini wa mjomba yake haya mimi nimemuachia mwenye ubini wake ndo ahangaike nae! Na yule mwanamke nimekwisha kuachana nae yupo na khamsini zake nami naendelea na zangu! Kama ni Damu yangu kweli itarudi tu, laakin kama si ya kwangu hatakama niipambanie vipi haitarudi! Hayo ndo maamuzi niliochukua mpaka sasa! "
 
pole ila pambana kupata haki yako bado hujachelewa
 
Subiri mtoto,
Wakurugwa mimba hatukatai tunakataa mtoto. Ila inaonekana mkeo anaupiga mwingi sana 🤣🤣
 
Kama hujanielewa hapo basi
FB_IMG_16336282752247199.jpg
 
Back
Top Bottom