Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
we pimbi kweli, angefanya mke wako hivyo ungejiskiaje , halafu unasema wanawake wana huruma, huruma my ass, mwanaume mwenzio kaja kuomba ushauri wewe unaongea faken stories hapa,Mimi mwenyewe nimeshangaa,halafu wanaeake wana huruma sana,unawezaje kuolewa na mtu dizaini ya mleta mada,no wonder hata kadi ya mtoto imeandikwa jina lingine.
kwani kumpenda mtu ni kosa la jinai nchi hiiNa bado unamuita mkeo, inaonekana unampenda sana.
Mie sijui hata
Aiseee kumbe dizaini ya mleta mada mko wengi, kweli kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani.we pimbi kweli, angefanya mke wako hivyo ungejiskiaje , halafu unasema wanawake wana huruma, huruma my ass, mwanaume mwenzio kaja kuomba ushauri wewe unaongea faken stories hapa,
wanawake wa hivyo unapiga risasi tu, na wanaume ambao mnasapoti ujinga kama wewe ni wa kuchinjwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeumka mkuuu...!! Hapo kuna mwanaume mwingine bwege mwenzio nae kauziwa mimba kama wewee...sema wewe ndo bwege zaidi maana hakuna kadi la uongo aliloandika hata wewe ni baba[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app