Mkuu umeongea kwa masikitiko Sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusameheKwaiyo mkuu unataka tushauri nn hapa kama si kutukosea adabu wanaume hivi nyie wavulana mnamatatizo gani lkn! kwann mnakimbiliia kuoa huku akili hazijawakomaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wingi tunaita bwegest!Umeumka mkuuu...!! Hapo kuna mwanaume mwingine bwege mwenzio nae kauziwa mimba kama wewee...sema wewe ndo bwege zaidi maana hakuna kadi la uongo aliloandika hata wewe ni baba[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo la kuomba ushauri? Ukirudi nyumbani mwambie aende kwa mwenye hilo jina aendelee kulea mimba. Hata kama ni jina la babaake.Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa!Hili nalo la kuomba ushauri? Ukirudi nyumbani mwambie aende kwa mwenye hilo jina aendelee kulea mimba. Hata kama ni jina la babaake.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hebu soma ushauri wako tena utajikuta unajicheka mwenyewe kwa hii pumbaSasa chakufanya mkuu
Iba kadi nenda clinic kabadilishe jina
Au nunua correction futa
Bora mkose wote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini nifanye hivyo!?Mpigie magoti,umuombe msamaha mkeo.
Duuh sahihi!dah hebu soma ushauri wako tena utajikuta unajicheka mwenyewe kwa hii pumba
Hamna Hatuja kimbilia kuoa babu!Mkuu umeongea kwa masikitiko Sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi!Sasa chakufanya mkuu
Iba kadi nenda clinic kabadilishe jina
Au nunua correction futa
Bora mkose wote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu huna akiliKwanini nifanye hivyo!?
Hapana hatakugombana wala kutalikiana!Au mlitalikiana?
Kwaninj?Ningekuwa karibu halafu unasimulia ningekuchapa vibao