Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Sasa chakufanya mkuu
Iba kadi nenda clinic kabadilishe jina
Au nunua correction futa
Bora mkose wote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo la kuomba ushauri? Ukirudi nyumbani mwambie aende kwa mwenye hilo jina aendelee kulea mimba. Hata kama ni jina la babaake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom