Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

dogo usiwe na pupa,subiri ukue tu haya mambo yapo. wewe si hadi leo hujawai kuona mtu aliyefungua kadi mbili za clinick na unasema ili iweje..we subiri na ni vema kipindi hiki ujisomee sana ujiandae na mock.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushauri wa aina gani ndugu yangu unaohiotaji ? Mkeo kabeba mimba ya mtu mwingine , na mama mkwe wako anaunga mkono kitendo . Ina maana katika hiyo familia umeachwa peke yako japo bado unadai kuwa kuwa una familia . Kwa kawaida wanawake walioolewa /ambao bado wapo kwenye ndoa wanapofanya kosa kama hilo huwa wanatumia jina la mume kwenye kadi/cheti cha mtoto. Lakini huyo wa kwako katumia jina la mhusika akijua kuwa wewe ndiye mumewe. Tafakari shirikisha wazazi wako ama viongozi wa dini yako na chukua hatua stahiki
 
No sikwenda nae cause nilikua mkoani so ikabidi aende mwenyewe! Ila kwa ushauri wa kuanza upya naona utanifaa zaidi kwasababu sipo tayari kulea mtoto ambae si wangu halafu mwisho was siku inakuja kutokea kuwa si wangu! Hapo make wangu alikua anakwenda kinyume na mimi! Nimeshapata somo!
 
Walishakuona we boya, na inaonekana wewe wanakuviringa kadri wanavyotaka, iweje mama mkwe aje kukuelezea taarifa za kadi? Hafu huyo mkeo anakufahamu kuwa wewe ni dhaifu ndo maana kapigwa mimba na kamwandika jamaa yake, pole dogo pambana
Sahihi!
 
Utapiga risasi kama una bunduki lakini
 
Mpeleke kwao yeye na mama yake wajadiliane kama mjomba atalea au mama mkwe mwenyewe.Jina la mimba huwa kuna pa kujaza mama na baba tu,hakuna pa kujaza mjomba.Hao mama na mwana wana usiri wao usioujuwa.
Sahihi kaka kuna siri iliyojificha ambayo mimi sijui! Nafkiri nijivue mzigo tu!
 
Safi sana Ahsante kwa ushauri wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…