Mkuu kwanza pole sana
(Jambo hili limenikuta mimi ila si mkewangu ni mtu ambae tulikuw katika mahusiano)
Sasa unaposema ni mkeo kbsa wa halali kidini na kisheria ndimbo hapo nashindwa kuelewa wew unashindw nn kumuelewa ..?
Je umezaa nae watoto wengine?
Unawatoto wangapi..?
Huyo mwanamke ni kabila gani ?
Ila ushauri wangu mpeleke kwao huyo mwanamke na usimuudumie kwa lolote na wala usitoe taraka hadi pale atapo kuthibitishia yeye mwenyew kuw huyo ni mtoto wako au si wako.
Na kama akikuthibitishia ni wako hakiki mtoto anafanafanana na wew , mnapima DNA na document zote za mtoto zipo kwa jina lako kinyume na hapo vunja mkataba wa ndoa .
Sent using
Jamii Forums mobile app