Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

ungetuambia kwanza jamaa ana umri gani,mkewe ana umri gani, wana muda gani kwenye ndoa,wana watoto au hawana ndio tungetoa ushauri vizuri.

ila sijui kwa nini Wanaume wenzangu mumenyimwa akili kama zangu aise !

sikia mwambie hivi:

Wanaume wewe ndiye kiongozi wa familia na wewe ndio unatakiwa uwe na sauti ya mamlaka acha kuhofika kimpoteza huo ni umama.

Mwanamke inatakiwa afuate unavotaka wewe sio yayi hilo kwamba likidondoka litapasuka.

oya jamaa mbona unanifanya mpaka nakasirika ?

tengeneza Mke unayemtaka wewe acha kusema eti unahofia kumpoteza.

we vipi ?
 
Una mke kichwani hazimo jipange sana utafte chombo ingine huyo kama hujazaa nae usimzalishe watoto utajuta
Shukrani sana alimpeleka kwa mamamkwe wake kisingizio akamsalimie πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kampatia likizo ya kulazimisha
 
Ikija episode amecheeat naye anaenda kugawa nje eti!???
 
Shukuru amekua addicted na tamthilia nzuri na kuiipa hisia na kuiishi, vp ingetoka aipende"Nsyuka" na aiishi?
 
Kuna kaupumbufu kakubwa sana

Yaani Tv yako, mke wako, bando unanunua wewe, harafu uteseke

Aisee umejitakia

Acha kununua bando la TV hafu umuache uone atafanyaje

Mwanaume unapaswa uwe kidume hakuna kuteswa wewe ndiyo unapaswa umtese

Full stop

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…