Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

Amri ni Moja tu ,

Afuate maagizo Yako.

Au arudi kwao ndoa I've atafute wa kumwendesha kama atakavyo yeye.

Pesa inatafutwa kwa ugumu yeye ametulia na tobo lake hapo halafu akuletee mikogo.

Rudisha kwao Hilo jendaheka
 
Umeona mtoto
 
Upo negative sana brother juu y mke wako, why ,km kweli ni hivyo ulivyosema maana yake ikitokea siku kwenye tamthilia Maria anapewa mapenz au ana furaha ndani ya nyumba, je na yy huwa na furaha na anakupa mapenz au ? What I mean huyo mshkaji wako why amekusimulia upande hasi tu wa mke wake na hio tamthilia? Its seem like ana changamoto zaidi ya hio ,au hampendi tena mwenzake?Trust me wanawake wengi wapo hivyo, awe na uvumilivu itakuja epsode ya mahaba atainjoi
 
🀣 🀣 🀣 🀣 make ncheke kwanza.

Nina kidemu changu chenyewe hukiambii chochote kuhusu Rayvany. Siku moja kinaniambia kinataka kijichore tattoo ya Rayvan halafu mara nyingine kinakuja kuniambia habari za kukioa nabaki tu nakiangalia nakisikitikia
 
Hii inahitaji psychological support zaidi
Kwa akili za kawaida ni ngumu kutatua unahitaji mtaalamu wa akili
Mke wako kaathirika sana na anahitaji tiba sio kumfukuza
Maana yake sio mzima kabisa
Naomba uliangalia kwa upana zaidi
Ni wa kuhurumiwa na kutafutiwa mganga
 
Man up ,simamia nyumba yako ,kaa na mke wako mpatie cha kufanya na cha kutofanya ndio maana ya kuwa kichwa cha familia ,unamuacha anafanya anavyotaka utapata usichochata.
 
Mkeo kazaliwa mwaka gani, pia usipaniki bro ishi nae kwa akili, ni swala la muda tu itafka kipnd huo muda wa kutazama tamnthilia hatokuwa nayo, kama Hana mtoto mzalishe awe bize kulea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akina Asya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…