Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
Jamani mnisaidie.

Siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku, tena kwa sauti kubwa.

Kujamba kwake kunanishtua sana usingizini, na nashindwa kuendelea kulala.

Jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutosha.

Nimemuuliza ni nini, ila hata yeye hajui chanzo. Siwezi kumkimbia.

Je, hili ni jambo la kawaida? Hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?

Nisaidieni mwenzenu!

=====
SIMILAR CASES:

Mwingine:
 
Ni kweli au unatania jamvini. I am trying to imagine mtu kujamba ukasituka usingizini.

Mbona watu wanajamba sana wakiwa faragha? Huna haja ya kubana hewa chafu isitoke. Sasa wewe ya kuamka usingizini kali.

Mpeleke kwa daktari. Au anashiba sana usiku.
 
Loh pole sana anatoa hewa chafu tumboni
 
mwambie amuone dokta ni dalili ya vidonda vya tumbo
pia mwambieaache kula ovyoovyo asione amefika saaana hapo!
by the way umepata ring tone weka kwenye simu kama alarm!
 
Nachelea kuamini kama hapa kiukweli unamzungumzia mkeo wa ndoa, ubavu wako, sehemu ya mwili wako, mama wa watoto wako na sabuni yako ya roho.

Kama kweli unamzungumzia mkeo then naamini kweli kuna laana nyingine ni za kujitafutia.
 
Nachelea kuamini kama hapa kiukweli unamzungumzia mkeo wa ndoa, ubavu wako, sehemu ya mwili wako, mama wa watoto wako na sabuni yako ya roho.

Kama kweli unamzungumzia mkeo then naamini kweli kuna laana nyingine ni za kujitafutia.
kwani kuna shida gani jamani.? mshauri bwana
 
kwa nn hujambi sana?
sili sana especialy usiku mi jioni huwa nakunywa juice,maziwa na matunda matunda
pia napiga pushap tano kitandani mwili unakuwa relaxed !
sasa kama huyo mama usiku anakula ugali maharage na samaki mzima sato jumlisha mchicha na maparachichi matatu kwa nini asifanye milipuko ya mabomu ndani?
 
Tatizo la mkeo anajidai mzungu, lunch eti anakula wali kwa big g, unategemea usiku afanyeje zaidi ya kupuliza vuvuzela?
 
tatizo la mkeo anajidai mzungu, lunch eti anakula wali kwa big g, unategemea usiku afanyeje zaidi ya kupuliza vuvuzela?
uhuuuu watu hawajui kwamba u a what you eat!
 
Cheki na jamaa wa barrick au airport wanavile vifaa kama headphones za kuzuia sauti itakusaidia sana mkuu.
 

mbona maziwa yanajambisha sana au wewe uko lactose tolerant?
 

Kwani wewe hujui kwamba kujamba ni afya???? anyway mwambie asile chakula kinachomletea gas/acid nyingi tumboni....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…