Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
aanzishe thread ya nini
kwa nini na ninyi msikutane sita kwa sita mkaja na taarifa yaliojiri baada ya matokeo
Unajuwa thread zingine

huwa hazifaa kuwekwa hapa kwenye jukwaa la JF Doctor hii Thread ingelifaa kuwekwa kule kwenye jukwaa la Mambo ya

kikubwa. Hapo tungeweza kusema maneno mengi huenda huyu Bibie anaye jamba wakati wa tendo la mapenzi huenda pia

dume mfanyaji anamfanya kwenye (0715) hiyo pia inachangia wanawake wengi kwenye sehemu zao za siri kuwa wazi

kutokana na mapenzi ya tigo wengi wanawake wanatumia Tigo kule nyuma kunakuwa kuko wazi wakatı wote siwezi kusema zaidi mimi mlokole wa dawa za kienyeji.
 
aanzishe thread ya nini
kwa nini na ninyi msikutane sita kwa sita mkaja na taarifa yaliojiri baada ya matokeo

usifurahie tu kkaka ukumbuke na kale karaba chetu kwenye mechi hata kama akisaiddii wanavyosema ila kanaunguza kaidadi ka kile kirus kuingia kwa wingi oni bodi
 

hapo kwenye blue
well ntd
 
mimi49 kaulza swal zuri,kuna mikao ambayo husababisha hewa kuingia ukeni na mtu mke akajamba kwa mbele,kama ni kwa nyuma atakua na matatizo ya gas tumboni.. MziziMkavu umeniacha hoi,ati mpaka haja kubwa zinawatoka wengine basi shughuli itakua pevu
 
Last edited by a moderator:
Loh
si ushukuru mungu unaambulia harufu kwenye 6*6 wenzio wanazoa mzigo kabisa
unamaliza shuguli analia safii kabisa akiwa anaamka anaamka na shuka usiniulize imejaa nini loh
hope ni uwoga ama kutohimili vishindo

duh!!!!haaahahahaha
 
mh! haya... acha nikae kimya.
But wanawake huwa awajisikia vizuri inapotokea hiyo kitu, sasa wewe mwenzao sijui why unaipenda.....

Mimi tofauti na wao......kwani unachokipenda ww wanaume wote wanakipenda?
 
Hapana, sio wote wanakipenda.
Kila kheri.. kila mtu ana kitu chake kina mpa raha wakati wa mambo yenu.

Mimi tofauti na wao......kwani unachokipenda ww wanaume wote wanakipenda?
 
Ndugu wana MMU,

Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu.

Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.

Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.

Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu?

Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?

Please help
 
...
...HIYO ITAKUWA ANA PANJA ya MIN KABANG.... mzibe kidigo kwa SUPER GLUE....
 
huyo atakuwa anajiachia sana kwenye misosi kila wakati tumbo lipo full.mwambie unataka kuongeza mke mwingine appetite itaisha na uchafuzi wa hewa utakoma.maana hata maji atakuwa anakunywa kwa shida
 
Nilifikiri unasema ati anakunya bila kutawadha kumbe ni kutoa pumzi tu? Hujui asipo jamba atavimbiwa? Unampenda kweli huyo mkeo?
Kama ana sura nzuri, mashine yake saafi, tena ina rutuba kwani keshakupa mtoii una shida gani na ushuzi wake? Kama unampenda, akitoa tena hiyo harufu mbele za watu msifie sana kuwa ni kama harufu ya perfume ya bint el sudan.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atachukia mtu kutoa pumzi.
Mpende mkeo weyee
 


dah karibu nichanike mbavu...anyway mkuu mwache aendelee ila weww nunua mtungi wa oxygen.akiachia tu we unaweka mask usoni haraka iwezekanavyo
 
labda ana vidonda vya tumbo..kama tumbo lake litajaa gesi ni lazima hali hiyo itokee hasa kwa vyakula vyetu vya kibongobongo ni vyema mkaenda hospitali kujua tatizo liko wapi..?...mtunzie heshima mkeo jamani....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…