antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwamba mume awe anajipikia na kujifulia mwenyewe na mkewe yupo tu?!!!Kwani umesikia mke ni drycleaned kuwa akufulie ngue au make no chief kuwa akupikie... Wanaume tubadilike mitazamo na kusoma alama za nyakati... Sio mbaya mwanamke kukufanyia utakacho ila vingine kama unaweza Fanya mwenyewe tena kwa upendo mkubwa
Tena hao wa huko ni wanaume wababe sana hata kama yeye majukumu yake kama Mme hawezi , ila anataka yeye mkewe afanye yote yanayompasa kufanyaKwani umesikia mke ni drycleaned kuwa akufulie ngue au make no chief kuwa akupikie... Wanaume tubadilike mitazamo na kusoma alama za nyakati... Sio mbaya mwanamke kukufanyia utakacho ila vingine kama unaweza Fanya mwenyewe tena kwa upendo mkubwa
Pole yaani kuanzia siku ya kwanza mpaka miaka 8 ndiyo ukaiona shida? Au ndugu zako wamekushika masikio? Maana watu wa huko Bunda wana mdomo hasa wanawake hata kama yeye ndoa yake imemshinda lakini ya kaka yake ataikomalia huyo, na ulitakiwa uangalie shida inaanzia wapi kama ndugu zako hawakumkubali lazima walete figisu za hapa nà pale, ila kwenu mnaoga ziwani hata mjini unajitengea tu [emoji3] pole sana kilema umekifuga mwenyewe.Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
Pesa ndugu sio kila kitu na kazi uwe unaiweza, sasa lundika pesa zako hapo halafu kazi mbofu mbofu, unamjazia mikuku, misamaki, huku unamshindisha kapa mpaka anafanana na ukuta wa sebuleni lazima hizo pesa akawape wanaoweza kazi, ndoa si pesa hizo ni chachandu tu.Hakuna mwanamke mjeuri mbele ya mwanaume mwenye pesa
Mito yenyewe ina maji?Kwahiyo kama anakaa keko akaoge mto Msimbazi? AU kama anakaa Kongowe ya Mbagala akaoge mto Mzinga?
Hahaha..Pesa ndugu sio kila kitu na kazi uwe unaiweza, sasa lundika pesa zako hapo halafu kazi mbofu mbofu, unamjazia mikuku, misamaki, huku unamshindisha kapa mpaka anafanana na ukuta wa sebuleni lazima hizo pesa akawape wanaoweza kazi, ndoa si pesa hizo ni chachandu tu.
ila wanawake hawa aiseee unawezaa kuuaa..
ukikutana na mwenye dharau alafu huna uwezo wa kumuacha utajua hujuii..Au sio?
Hapo sasa..!! Hebu kila mtu mzima anayesoma comment hii affikirie mto wowote ambao aliwahi kucheza akiwa mdogo, ajiulize, mto huo bado una maji mpaka leo?Mi
Mito yenyewe ina maji?
Ukiwa na pesa hata akikusaliti atakuheshimu ili usimuache ajafa njaaPesa ndugu sio kila kitu na kazi uwe unaiweza, sasa lundika pesa zako hapo halafu kazi mbofu mbofu, unamjazia mikuku, misamaki, huku unamshindisha kapa mpaka anafanana na ukuta wa sebuleni lazima hizo pesa akawape wanaoweza kazi, ndoa si pesa hizo ni chachandu tu.
Swali ulianzaje kufua?Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
DKwanini unataka sasa hivi ndo aanze kukufanyia hayo yote, wakati ndani ya miaka nane hajawai kuyafanya? Na kama uliweza kufua na kujitengea maji bafuni miuda wote huo sasa hivi umepatwa na nini ushindwe kufanya?
Swali ulianzaje kufua?
Mkuu nilielezea kwa kifupi na kuchepuka pia alikuwa anachepukaWe jamaa si bure una wazimu kabisa,
Yan unamuacha mke kwa kuwa hakuwekei maji ya kuoga?? Kama anachepuka ntakusupport umuache ila kama sababu ndio hiyo kaa na mke wako
Kwahiyo unavyoondoka huko unapoenda ndio utawekewa maji ya kuoga?????
Think twice
Hiyo sio sababu ya kumuacha mke
Labda kama hukumuoa na umemchoka hapo unaweza kuondoka