Mke wangu ananifuatilia FB

Mke wangu ananifuatilia FB

Ndoa,uchumba na urafiki mwingi umeharibikia facebook.wapo wanaoitumia vizuri,na wapo wenye matumizi mabaya katika facebook.Facebook,ilikuwa zamani c sasa hivi,ndio maana,wanandoa wengi siku hizi huwezi wakuta facebook.
 
Labda kakushtukia una marafiki madada wengi,na kuwa online full time.Mpe pasword ajue una inbox vitu gani huko.
 
Mkeo mzinzi ndo maana anashindwa kukuamini,anayofanya yeye anadhani na wewe unafanya pole sana ndo mitihani ya maisha ..ila una moyo wa upole kweli ,wife katembea na rafiki yako ukasamehe,bado ukabamba msg kwenye simu ukasamehe,uendelee na moyo huo:A S-coffee: i see
 
Back
Top Bottom