Kabisa.Mkeo anataka ubao usume 1 -1 ..
Mliongea nini hapo na mkeo? Fafanua kidogo Walimwengu tupate pa kuanzia....tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala,
Hahahaa...Mnunulie mvinyo umwanzie mbali uone atakavyoropoka, for your own risk
Nakazia""Umeshanicheat Mara ngapi?""hili swali inaonekana kakitembeza huko Nje si mchezo anataka kujua na wewe umeyafanya mauchitiji Mara ngapi ili alinganishe!!
HahahahaaKuna watu waoga, jambo dogo tu utasikia kapime ugonjwa wa zinaa na ukimwi, watu tumechakata papuchi Hadi za wameza vidonge but tupo fresh. Nina watoto wa4 wamezaliwa salama na **** nimezipiga kavu mademu wanajaa coaster mbili.
Mkuu una kifua lakini?Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)
Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.
Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.
Naomba kuwasilisha.
Ni mke wangu MkuuHivi Malaya wa namna hii Huwa mnawapata wapi
Mnunulie mvinyo umwanzie mbali uone atakavyoropoka, for your own risk
Tembelea wembamba wa kamba yako dingiKiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)
Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.
Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.
Naomba kuwasilisha.
Aisee wee jamaa umeokota dodo chini ya mwarobaini....yaani mwananke wa hovyo ndio mwenye. Hamna mambo ya kudanganyana kuwa sichepuki...mnatamiwa kuongea freely kabisa bila shida yoyote ile mwanawaneKiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).