Mke wangu ananilazimisha nimcheat...

Mke wangu ananilazimisha nimcheat...

""Umeshanicheat Mara ngapi?""hili swali inaonekana kakitembeza huko Nje si mchezo anataka kujua na wewe umeyafanya mauchitiji Mara ngapi ili alinganishe!!
 
Kuna watu waoga, jambo dogo tu utasikia kapime ugonjwa wa zinaa na ukimwi, watu tumechakata papuchi Hadi za wameza vidonge but tupo fresh. Nina watoto wa4 wamezaliwa salama na **** nimezipiga kavu mademu wanajaa coaster mbili.
Hahahahaa
 
Usha chapiwa wewe nafsi aija mtulia ana tafuta score iwe 1-1
 
Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)

Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.

Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.

Naomba kuwasilisha.
Mkuu una kifua lakini?

Kwa huo mwenendo aliouanza shemeji, kuwa na uvumilivu.

Wakizinguana atarudisha moyo
 
Mbwa kala mbwa ngoma droo alietoa hela bandia kapewa cheni bandia, hata yeye ni km wewe tu! hajawahi kukusalit mkiwa wote analinda ndoa yake ila unaposafr au anaposafr anatoa papuch km kawa
 
Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)

Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.

Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.

Naomba kuwasilisha.
Tembelea wembamba wa kamba yako dingi
 
Aisee wee jamaa umeokota dodo chini ya mwarobaini....yaani mwananke wa hovyo ndio mwenye. Hamna mambo ya kudanganyana kuwa sichepuki...mnatamiwa kuongea freely kabisa bila shida yoyote ile mwanawane
 
Hivi ni mimi sijaelewa au niaje? Kila nikitafuta sehemu mkeo aliposema uchepuke sipaoni
 
Back
Top Bottom