Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwamba mwanaume kumuomba msamaha mke wake pale anapomkosea ni kibarua kigumu?? Mungu akisaidie sana kizazi hiki cha wanaume kwa kweli!!The one you left at home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mwanaume kumuomba msamaha mke wake pale anapomkosea ni kibarua kigumu?? Mungu akisaidie sana kizazi hiki cha wanaume kwa kweli!!The one you left at home
Kwamba huwa unamuomba msamaha mkeo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]tena mbele ya kanisa tena anakupangia na amri juu dah [emoji24][emoji24][emoji24]mungu tuepushe wanaume wachache sana ndo nyie mnaenda kupika mwanamke yupo sebulini anaangalia sultaniKwamba mwanaume kumuomba msamaha mke wake pale anapomkosea ni kibarua kigumu?? Mungu akisaidie sana kizazi hiki cha wanaume kwa kweli!!
Kwanza kabisa ulitakiwa uniulize mimi ni wa jinsia ganiKwamba huwa unamuomba msamaha mkeo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]tena mbele ya kanisa tena anakupangia na amri juu dah [emoji24][emoji24][emoji24]mungu tuepushe wanaume wachache sana ndo nyie mnaenda kupika mwanamke yupo sebulini anaangalia sultani
Haaaaa nimecheka sanaNenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
Uko sahihi mkuuMkuu wewe ni mpole sana man up tafadhali.
Halafu mbona mkeo ni mkoloni sana? Anataka kuonekana yeye kuwa yuko juu zaidi yako, na dini haisemi hivyo hata msamaha kwenye maandiko hauko hivyo, hapo changanya na za kwako.
Sasa naweza kuwaelewa wanaume kwa nini wakitukosea makosa wanabadilika wanakuwa wakali ni kwa sababu ya wanawake kama mkeo.
Upo sahihi boss we tia mgomo mambo ua kurekodiana tutakuona whatsapp unazagaa ovyo umepiga goti unaomba msamaha kanisa.
Khantwe acha kutudhalilisha wanaumeKaombe msamaha wewe, kwa nini ulipokuwa unatenda hayo dhambi hukukumbuka utu wako?
Wanawake wanapenda Sana drama na vitu vinavyokushushia ego ya uanaume.Kwamba huwa unamuomba msamaha mkeo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]tena mbele ya kanisa tena anakupangia na amri juu dah [emoji24][emoji24][emoji24]mungu tuepushe wanaume wachache sana ndo nyie mnaenda kupika mwanamke yupo sebulini anaangalia sultani
Easier said than doneWanawake wanapenda Sana drama na vitu vinavyokushushia ego ya uanaume.
Ndio furaha yao.
Yaani mimi kwangu mwanamke wa hivyo tunaenda kanisani.
Anaanza yeye kutoa maelezo meeengi.
Ya kuonesha nataka kumuomba msamaha.
Baada ya hapo, namwambia
"Mke wangu na kanisa, samahani kwa kuwa nilioa mtu asiyenifaa.
Naomba nitangaze Leo mbele yenu kuwa kuanzia Leo Sina mke na mtu yeyote asijitambulishe kama mke wangu. Taratibu nyingine zitafuata."
Huyooo nasepa zangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Khantwe acha kutudhalilisha wanaume
For a boy not a man!!Easier said than done
Huwezi kuona au kutatua tatizo ungali wewe ndiye tatizoKwamba mwanaume kumuomba msamaha mke wake pale anapomkosea ni kibarua kigumu?? Mungu akisaidie sana kizazi hiki cha wanaume kwa kweli!!
Mrejesho tafadhaliWakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Kwani ulimla tigo au alikufumania,kama alikufumania sema na yeye amkubali mgoni kama mke wa pili,gonganisha dawasa na STIGLER ya Nyerere utaona mizimu inamtulia huyo kimeoWakuu nawasalimu,