Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Moja ya atua za kutoa uanaume wako ndo izo, na ameanzaje vp kukwambia ilo swala pole ndugu apo ujaoa umeolewa dah so sad [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwamba mwanaume kumuomba msamaha mke wake pale anapomkosea ni kibarua kigumu?? Mungu akisaidie sana kizazi hiki cha wanaume kwa kweli!!
Kwamba huwa unamuomba msamaha mkeo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]tena mbele ya kanisa tena anakupangia na amri juu dah [emoji24][emoji24][emoji24]mungu tuepushe wanaume wachache sana ndo nyie mnaenda kupika mwanamke yupo sebulini anaangalia sultani
 
Kwanza kabisa ulitakiwa uniulize mimi ni wa jinsia gani

Pili ulitakiwa uniulize kwanza nimemaanisha msamaha wa aina gani
 
Huyo nia yake ni kulipiza kisasi kwa kukudhalilisha mbele za watu. Usifanye huo upuuzi
 
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
Haaaaa nimecheka sana
 
Uko sahihi mkuu
 
Wanawake wanapenda Sana drama na vitu vinavyokushushia ego ya uanaume.
Ndio furaha yao.
Yaani mimi kwangu mwanamke wa hivyo tunaenda kanisani.
Anaanza yeye kutoa maelezo meeengi.
Ya kuonesha nataka kumuomba msamaha.
Baada ya hapo, namwambia
"Mke wangu na kanisa, samahani kwa kuwa nilioa mtu asiyenifaa.
Naomba nitangaze Leo mbele yenu kuwa kuanzia Leo Sina mke na mtu yeyote asijitambulishe kama mke wangu. Taratibu nyingine zitafuata."
Huyooo nasepa zangu.
 
Easier said than done
 
Kwamba mwanaume kumuomba msamaha mke wake pale anapomkosea ni kibarua kigumu?? Mungu akisaidie sana kizazi hiki cha wanaume kwa kweli!!
Huwezi kuona au kutatua tatizo ungali wewe ndiye tatizo
 
Mrejesho tafadhali
 
Kwani ulimla tigo au alikufumania,kama alikufumania sema na yeye amkubali mgoni kama mke wa pili,gonganisha dawasa na STIGLER ya Nyerere utaona mizimu inamtulia huyo kimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…