Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Usiombe mwanamke msamaha hata siku moja kwa maneno....
Wanawake tunawaomba msamaha kwa vitendo...
Huyo mkeo anataka kukudhalilisha...
usikute ni mchungaji ndio ameshinikiza hayo mambo....
Kuwa makini....
 
Ningembadirikia vibaya mno hata kama nilikosa mm na samahani angeomba yeye possibly akiwa kwao....!
 
Kwani ulioa kanisa Mkuu? Usikubali huo upuuzi wala wa kurekodiwa ukiomba samahani.

 
Haya ni madhara ya MAKANISA YA HOVYO NA KIHOLELA. Hakuna KIONGOZI wa kanisa mwenye akili zake timamu akaruhusu huu UPUUZI WA MKEO.
 
Mkuu,

Mimi nina kamera nzuri sana aina ya CANON Mark iii D,

Naomba nipewe tenda ya kurikodi hilo tukio kwa high definition mkuu,
Nakuomba sana usininyime hilo dili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mkuu wanawake wako wengi sana,ila hadi uwaone lazima uwe na Chambichambi.pole sana hhh,anachokufanyia ni ufala 1st class.
 
Kwanza msamaha wa kweli hauna masharti ndani yako, msamaha ni kitu kinachotoka moyoni kama kupenda au kuchukia hakuna masharti ndani yake

Pili: Huyo mke wako ni aina ya wanawake wajinga ambao ujinga wao umeutengeneza wewe mwenyewe kwa kumuendekeza mpk akupe masharti ya kukudhalilisha. Kuwa mwanaume na simamia misingi ya kiume husiyumbishwe wala kuchezewa na mwanamke. Hata kama umefanya kosa kubwa kama kuzaa na mwanamke mwingine lazima mwanaume uwe na sauti ya mwisho umeomba msamaha ndio mwisho akihamua kusamehe sawa asiposamehe sawa sio unambembeleza bembeleza kila siku utadhani akiondoka unakufa bwana. Pumbaaaf
 
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
 
Ndio madhara yakupata Mke Instagram
 
Nimekusoma mkuu.
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
 
Sio kibao,VIBAO. Ndio shida ya kuwa mpole mpole mbele ya mwanamke, anakufanya fala.
 
Mkuu wewe ni mpole sana man up tafadhali.
Halafu mbona mkeo ni mkoloni sana? Anataka kuonekana yeye kuwa yuko juu zaidi yako, na dini haisemi hivyo hata msamaha kwenye maandiko hauko hivyo, hapo changanya na za kwako.

Sasa naweza kuwaelewa wanaume kwa nini wakitukosea makosa wanabadilika wanakuwa wakali ni kwa sababu ya wanawake kama mkeo.

Upo sahihi boss we tia mgomo mambo ua kurekodiana tutakuona whatsapp unazagaa ovyo umepiga goti unaomba msamaha kanisa.
 
Kosa umeshalifanya tayari.
Unamuomba msamaha ili iwe nini.
Mwambie huna haja na msamaha wake. Hata ulivyomuomba msamaha mwambie ulikuwa unamtania tuu.
Mwambie afanye analoona litafaa. Pia mwambie kuwa ukienda kanisani kusema ulitoka nje ya ndoa mwambie utajihukumu kumuacha hapo hapo kanisani.
Na utatangaza kuwa unatafuta mke mwingine.
Mkumbushe wewe ni mwanaume hupangiwi la kufanya bali unafanya utakavyo.
Mwambie wewe ndiye mume wake ndiye mtawala wa hiyo nyumba. Kama hataki asepe apishe watakaoweza kutawaliwa na wewe.
Mwambie bi kweli umekosea lakini sio kigezo cha kufanya upuuzi kama aliosema.
Pia mwambie umemheshimu kusikili maoni yake ya kipumbavu ambayo kimsingi ungepaswa umchape makofi mawili makali sana.
Mke wako inaonekana amekupanda kichwani sana. Mpaka inafikia anafikiria kusema hivyo achilia mbali kutamka upupu huo.
Binafsi mwanamke niliyemuoa hawezi fikiria huo upuuzi achilia mbali kuutamka. Kwani anajua joka si mtu wa mchezo.
 
Mkeo anakupima Imani anataka ajue break point yako...

Na ww mpe mtihani mdogo tu, Kuwa ukienda kumuomba msamaha kanisani kwa Masharti hayo basi akitoka kanisani aunganishe Kwao ww s8o mume wake hyena
 
mkuu acha visingizio.. ila wanaume tuna mbinu.. usifanye hivyo atakuona weak sana.. tafuta janja janja nyingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…