Mke wangu ananiletea Usuperstar

Men date down while women date up. Wanawake wa kizazi hiki kasumba yao ni kutafuta vitu vilivyo nje ta uwezo wao na juu ya uwezo wao.

Kosa ulilofanya ni kum'upgrade mwanamke wako ukiamini unafanya wema bila kujua kwa kufanya hivyo una mdhoofisha eneo la kukutii wewe.

Malengo yako sijui yalikuwa ni yapi ila ulichofanya tafsiri yake ni kwamba unataka mwanamke awe bora zaidi maeneo mje ya uhusiano wenu jambo ambalo umefanikiwa sasa kwa kumfanya ajione bora zaidi na anahitajika huko nje kuliko hapo ndani kwenu.

Msomeshe mtoto wa kiume awe na maisha bora ajenge familia bora, somesha mtoto wa kike awe na maisha bora awe single mother na kuongeza kizazi cha nyoka kwenye jamii.
 
Kumbe wee Ni mtoto wa kiume mwenye jina la kike
 
Tatizo sio mwanamke tatizo ni mwanaume
1.una sheria kwenye boma lako?
2. ulitoa elimu ya sheria zako?
3.una ubavu wa kuzisimamamia sheria zako kama bot au na wewe ni dhaifu kama mwanamke wako?
4.ndoa ni vita mwanamke akianza kukuzidi kipato acha kulala kama mtoto yaani mue mnakutana kwa nadra kwelikweli

NOTE; majini hayauzwi kanisani mwanamke akipata fedha ni kama kununua majini, akitaka auze cheti cha ndoa kwa dada wa kazi rahisi sana, akitaka awe single maza utaona tu jeuri zake
mwishoni akipata fedha nyingi na yeye atatunga sheria zake kwenye boma lako mpaka hapa ndio bendera itakua nusu mlingoti,
mke ni mke tu hata aolewe na masikini, bad bitch dreamchasers wameshindikana kuna wanawake kama huwezi propaganda zakuwatafuna saikologia hutoboi yani kama tunavotawaliwa na wazungu bila kupenda fanya ivo ivo.
 
Pole, siyo kwamba kabadilika, hiyo ndo tabia yake halisi, tabia halisi ya mtu inakuja baada ya kupata pesa, cheo au elimu.

Kama mtu ana hizo sifa tatu halafu akabaki kuwa humble, huyo ndo mtu sasa.
tena karithi kutoka kwa mama yake, ndo maana mama yake anampa kichwa, huyo baba yake atakuwa anateseka sana basi tu.
 
Maprofesa wengi wamelelewa na mama zao ambao either hawajaenda shule au ni darasa la saba.
Dunia imebadilika, zamani malazi yalikuwa ni suala la jamii nzima, siku hz malezi ni baba/mama, kimsingi kuna kitu mwamba aliona hakipo sawa kwa hyo mwanamke ndo maana akaamua kufanya hvo ili kumtoa tongotongo aweze kulea watoto vzuri,

zamani watu walikuwa wanaenda shule peku peku, kwa hyo tusiwanunulie watoto wetu viatu vya shule ili waende shule peku kama sisi?
 
Ndoa ni utapeli nani kawadanganya kuoa nyie watu!! Ona sasa na shule ulimpeleka MWANAMKE HASOMESHWI haijalishi ni mke au mchumba usijipe majukukumu ya mzazi wake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
Kama kawaida yenu wakataa ndoa, kwenye uzi kama huu hamkai mbali......
 
Tunaendele Kujifunza mwanamke anapaswa kujisomesha mwenyewe ,atakuwa na adabu na kuheshimu utu na watu
 
Pole. Ila kuna kosa ulifanya ni kuanza kumsomesha. La sivyo ulitakiwa kujua tangu mwanzo kuwa kumsomesha mchumba au mke miaka ya mwanzo ya ndoa ni majanga, na kama umeamua ulitakiwa kufanya kama sadaka tuu hata mkiachana usiumie. Mke wa kusomesha walau mmezaa watoto 3 au 4. huyo haendi popote
 
Maamuzi ya kiume haya.mtafutie kosa upige chini japo watoto huwa wanapata tatizo libwa sana kisaikolojia wazazi wakiachana lakina hakuna namna .
 
Unamzungumzia Mzava ambaye ndo mkuu wa Baraza la madaktari Tanganyika? MCT?
 
Ni bora uanze upya na maisha ya furaha kabisa, hamia mji mwingine tafuta mke mwingine ujiendeleze kuendelea kukaa naye karibu hapo na bado anakuendesha namna hiyi, jua utaibua msongo wa mawazo mkubwa na mwisho wake uishie kupatwa na majanga. Wanaume wengi hufa mapema chanzo ni kuumia ndani kwa ndani kwa kuwaza sana, sasa wewe epusha hayo na jiondokee hapo.

Ulipata nyumba ya maana kama watoto wanajiweza chukua uishi nao tu, wewe hapo anapoishi mwachie hivyohivyo. Usimdai chochote
 
Unamzungumzia Mzava ambaye ndo mkuu wa Baraza la madaktari Tanganyika? MCT?
Hapana, Mnzavas mzee wangu huku Shy. Wamama hawafai kabisa mzee ametoa from nowhere mpaka naye akawa binadamu msikini amekuja kumtelekeza uzeeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…