Mke wangu ananiletea Usuperstar

[mention]Maleven [/mention] brother umeandika kwa ufupi sana
Ila kila neno uliloandika limebeba maumivu makali sana

Kitu pekee naweza kukushauri ni

Tafuta amani ya moyo wako.
 
Wanaume nje mnaonekana mashujaa sana ila mioyo yenu ni milaini mno kama theluji...huyeyuka dkk chache na kuumaliza mwili wote...ndipo hapo magonjwa huwanyemelea na mwisho kufa mapema..

Vitabu vya dini havikukosea kuwaambia muishi nasi kwa akili...
Hii statement ni nzito sana nadhani wanaoweza kufumbua fumbo la akili zipi na azitumie vipi juu ya mkewe ataishi kwa amani na maisha marefu...

Shida ya wanaume wa sasa ni kujifanya kuishi kizungu hapa nadhani mnaelewa...wenzenu wazungu wana ndoa za mikataba hawataki kufa mapema...la sivyo fateni maisha waliyoishi ma baba zetu na mama zetu...hebu rudini vijijini kwa mababu basi muulize how to live with a woman kama mtaona noma kuwauliza wazazi wenu labda mtapata hints...

Tunawapenda jamani waume zetu...ishini na sisi kibabe tuu hamna namna. Toeni sheria tutii full stop...
 

Ni moja ya nyuzi zako PENDWA kwangu

Be blessed mwanangu[emoji119]
 
Mmmh sasa mbona madesa yanayuchanganya? Tuishi na nyie kwa amani au hamtKi mnataka vurugu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Nawawinda sana wanawake majeuri siwapati
 


#hamtusikilizagi tukiongea huku Kaka zenu, mnajidai mnajua kupenda, wanawake tabu sana
 
Mmmh sasa mbona madesa yanayuchanganya? Tuishi na nyie kwa amani au hamtKi mnataka vurugu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Inahitaji akili ya kubalance mambo...
Acha uzungu uzungu mambo ya mke mwache ayafanye ww fanya yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…