Mke wangu ananiletea Usuperstar

Pole tunachokosea wanaume wa lika letu hili ni kutojua aina ya familia tunazoenda kuoa na historian ya wazazi(wakwe) hili linatuponza kwer Sasa apo huna chaguo Mwache Aishi kistar Maisha ya ndoa bhn ni zaidi yakukimbiza gurudumu la ndege mpka lipae iyo vita yake sio ndogo
 
Yes hatajali Kwa muda
Lkn si unaona ilifika mahali akaanza kulalamika?
Kwani alikuwa mke ,mkuu?
Yaani haya mambo bwana
 
Yes hatajali Kwa muda
Lkn si unaona ilifika mahali akaanza kulalamika?
Kwani alikuwa mke ,mkuu?
Yaani haya mambo bwana
Wanawake wana ujinga sana. Kuna dogo aged 29 nilijichanganya nikamuelewa vibaya sana. Akavimba kichwa, maringo mengi k ya kupimiwa. Tunaweza kulala lodge ya 100k na K anagoma asitoe. Kuna kipindi mpaka nilikuwa namtimua

Yule fala kila shida ndogo nilikuwa namaliza mpaka kodi.

Nikagundua uzuri na tako ndio zinamtia jeuri. Siku moja nikamuweka kikao. Nikamchana sana. Nikamwambia mtu mwenyewe umri umeenda badala ya kuniganda unaniletea jeuri. Kisha nikamkaushia. Ikawa hata wiki inaisha bila sms wala call . Baada ya mwezi anamtuma dada yake ananiuliza una mpango gani na mdogo wangu. Tukaweka conference nikamchana vibaya sana.

Sasa hivi anajichatisha dear kibao mkuu sina time hisia zilishakata. Wanawake sometimes wana ujinga sana
 
Si unajua wenye makalio mkuu🤣wanajua hamchomoi,
Ndo maana wanawasumbua vichwa
Jamani kuweni na wadada wa kawaida tu.

Ila jmn wanawake sijui tunataka nini
 
Jiandae kisaikolojia,kuwa tayari Kwa lolote!
Hali wanao tu
Mpotezee kabisa,usimuulize lolote au kumjali Kwa Chochote!

Utakuja kuniambia
 
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Kwani brother wewe shida yako ni nini haswa? Yaan sasa hivi unachokitaka kwake haswa haswa ni nini maana km kumkamua nina uhakika umemkamua na kumzalisha umemzalisha watoto, sasa what happened bro nini shida? wewe ni mshindi acha kuishi kinyonge

Leejay49 baby ukuje
 
Ndoa ni utapeli nani kawadanganya kuoa nyie watu!! Ona sasa na shule ulimpeleka MWANAMKE HASOMESHWI haijalishi ni mke au mchumba usijipe majukukumu ya mzazi wake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
Ndoa ya mabwege tu. Mwendo ni girlfriend tu - akizingua unabwaga chini-kata mti panda mti.
 
Tayana-wog 29 yrs kwa mwanamke kweli anapaswa kuringa? Si umri unakuwa umeenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…