Mke wangu ananiletea Usuperstar

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ulimsomesha..?..🤔🤔🤔

Fanya maamuzi haraka
Lakini hajapoteza sana, kasomesha mzazi mwenzake. Mbaya kama wangekuwa hawajazaa, angekua kasomesha mchumba, kitu ambacho hatushauriwi!
 
Nitajuaje Kama anaona fahari kuolewa nami mkuu[emoji120]
 
Lakini wengine wanaolewa wakiwa na standard ya chini sana,
 
[emoji1787][emoji1787]

Evelyn me nakupenda
 
Mnagawana kiroho safi mbona kiwepesi sana? Mmefunga ndoa au ndio ulimuendeleza kusoma sheria na sasa anakutisha?
 
KUANZA UPYA SIO UJINGA.

KATIKA JAMBO AMBALO WANAUME TUNAPASWA KUFANYA MAAMUZI MAPEMA, NI KUACHA MWANAMKE ASIYEKUFAA.



MUACHE MARA MOJA ...MWANAUME NI HESHIMA.

HUYO KESHAANZA KUKUSALITI, HAUNA THAMAN KWAKE, NDIO MAANA ANAKUDHARAU.
 
Kuna wakati hapa duniani inabidi uwe na tabia za kishetani Ili kudeal na watu kama hao . Ukijifanya Yakobo itakula kwako
 
Mlishaambiwa kama umeamua kumsomesha mwanamke msomeshe ufundi cherehani

Ona sasa wahuni wanakukazia
Binafsi sioni shida ya kusomesha mwanamke niliye zaa naye.
Ni faida kwa mwanao/wanao. Kama hujazaa naye kusomesha ihesabiwe kama zawadi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…