Mke wangu ananiletea Usuperstar

Nkipata hela naoa
 
Tafuta gunia mbili za mkaa unamfanyia kama yule wa kigamboni. Mchezo umeisha
 
Atakuja jamaa mmoja atasema labda Sweden ya buza Kwa lulenge 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pole bro Usijutie kumfanyia mtu wema kisa hana shukrani hilo siyo kosa lako ni kosa lake, muache aende ila ipo siku, mwezi au mwaka utafika na atakumbuka wema wako

Ni wanawake wachache sana wanakumbuka wema ila wengi hata umpende vipi akipata mtu wa kumdanganya siyo ajabu akakutamkia kuwa wewe hujawahi kumpenda.

Mtu huyo hafundishiki kwa kushauriwa anafundishwa na Muda, muda ndo kitu pekee kinaweza kumfundisha.
 
Kwenye makosa ambayo baharia anatakiwa asifanye.

Wewe umeharibu Moja nalo ni kumsomesha.

Mengine kumtafutia kazi
Kumbuka kitabu Cha wahuni 8:3
Watu wanafanya vtu kwa nia njema, umempenda mwanamke unamuweka ndani ila unaona kabisa bila kumpa exposure hata kulea watoto hawezi, unaamua kiroho safi kufanya jambo kwa ajilh yake na kizazi chenu, mwenzako baada ya kumtoa tongotongo anakengeuka.

unafanya nn? achana naye muda si muda dunia itampiga mateke ya kushiba, usiwaze sana ulivowekeza kwake, nina mifano hai mingi sana ya wanawake kama wa huyu mwamba. ambao baada ya kusambaratisha ndoa waliishia pabaya sana.
 
Huna haja ya kumwacha! Kama anakutunzia watoto usiingie kwenye matatizo yasiyo na maana!
Unachotakiwa ni kupambana ili kutafuta pesa!
Ni kweli katika ndoa mnasaidiana lakini kwa viumbe hivi, bila pesa yako vitakunyanyasa tu.
 
Na hizi ndio NDOA ZENU.

#YNWA
 
Mwanamke yoyote duniani
1. Ni mbinafsi
2. Kumpa hela au kumsomesha huona ni haki yake. Usitegemee ukimsomesha au kumtoa kwenye shida basi atakuheshimu. Haipo hiyo
3. Akianza kupata hela au akiwa na kazi basi anaona anaweza maisha bila ya mwanaume.
Tuishi nao kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…