Mke wangu ananiletea Usuperstar

Hatutizamia KIOO juani. Okoa muda na Macho yako. Elimu uliyompa inamtosha
 
Amuache kwa ujumbe mfupi tu wa maneno wala asihangaike na ndugu maana keshasema ni baba yake tu ndo muelewa.

"Hii ndoa nimeivunja, upo huru, Sikuhitaji"

Akishatuma asipokee simu zake, ila ndugu wakipiga ni sawa kupokea. Kama ukijua kakusaliti kingono Usimrudie hata ndugu au yeye atambae kwa kilio, yaani hata Putin wa Urusi akikupigia simu kujaribu kuwasuluhisha mkatie na umblock.
 
Piga chini chukua chuma hapa 👇 mahari nitalipa

 
Pole sana mkuu!

Kama vipi mpe cheo awe Bi Mkubwa
 
Bro,
Akishaitwa mtu mzima,mwenye uwezo wa kuamua anavyotaka, wala usohangaike. Kosa kubwa ngozi nyeusi inalofanya,wanaume wakipenda wanataka waingie chumba cha siri. Wanawake wanawaacha wanaume waingie chumba hicho cha siri, lakini hawawashiwi taa. Hivyo ukiingia gizani mwanaume,huoni chochote utatoka tu. Kila ulichokifanya kwa wema na manufaa ya familia, mwenzako alikuwa anakutaim tu.

Ushauli wa nini ufanye ni wewe mwenyewe. Lakini ukiona manyoya,ujue kesha liwa.
Bahati mbaya ni kwamba mazingira hayo yanaathiri watoto.

Mengine badae yule kumbikumbi akasome na hii comment kwanza
 
baby wake wa shule anamkaza na anampa vitu adimu, wewe anakuona BS
 
Una roho mbaya
 
Sasa ukali uko wapo hapo?

Usikute wewe neno usinipangie umelisoma kwa ukali halafu unanisingizia mimi
Hakika, halina upole hilo.
Yaani neno lenyewe tu ni kali katika hali yoyote ile.
Hata hivyo tuachane na haya, tutafakari tu ya mleta mada. Maana ukisikia kupatwa kwa ndoa ndiyo hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…