Mke wangu ananiletea Usuperstar

Mke wangu ananiletea Usuperstar

Hapana , lengo ni kua awe na maarifa yanayoendana na dunia ya sasa, aweze kuwalea watoto kwa usahihi, haikua monetary driven desire at all. N hata sasa sijawai muuliza achangie chochote kwenye familia financially, amini mkuu.
Maprofesa wengi wamelelewa na mama zao ambao either hawajaenda shule au ni darasa la saba.
 
Halafu ukishalea nani atakupa mahitaji ya muhimu, saivi maisha sio kama zamani ya mama zetu saivi maisha ni challenge maisha ni kupanda sio kushuka, unatafuta gari za kisasa unajenga nyumba zakisasa sio huyo tu ajenge hata wewe unaparangana unajenga hawa wanaodharau waume zao wao ndio wajinga waliwao . Hata ukiwa na mafanikio mume ni kama baba tena yule anayekupa everything.
Aise! Bora wewe. Kuna lijinga limeachwa majuzi,mtoto wake wa pili alikuwa na graduation wiki ilopita. Hata hakualikwa.
Analalamika sijui hamna mama yenu mwingine,watoto wanamjibu we komaa na mahawara zako.

Mzee alihangaika bahati nzuri akafanikiwa,kila akililia mtaji,anapewa baada ya mda,biashara imekufa,faida hamna,mtaji hamna,hata pesa ya mchicha anapewa. Zingine,anaiba(yaani anajipiga roba), kapewa hela amjengee mama yake,hamna, katokomea na zo.
Kalagaiwa na mme wa mdogo wake,wakaenda zao kuponda raha. Jama kamuibia,mwanamke kaamua tu arudi.
Zaidi ya mara tatu,kafumaniwa na washikaji wanajilia tikitimaji kimasihara kitandani kwa mzee.
Sasa unajiuliza,huyu amelogwa au?
Mpaka watoto wake hawataki kumuona kabisaaa,walishamwambia baba yao bora wawe wanaenda kwa ndugu zao lakini kwake mama yao akiwepo hawawezi.

Wengine bora ufuge simba akila mwanao utajua tu ndo zake
 
Mwanangu wewe jua tu kwamba anapokuwa kwenye majambozi anakutukana sana! Wanawake wa dot com ni umbwa anapokuwa kule nje wananyanyuliwa miguu mpaka darini, vi kifulambute havinaga mchezo ndiyo hayo madharau! Kama amesoma na akapata kazi lazima akunyee! Mzee Mnzavas naye alisomesha mke akapata kazi kutoka kwenye kufanya usafi hospitalini mpaka kuwa nesi, sasa hivi anakaribia kufa bila msaada wa mke wala mtoto!
 
Mwanangu mshikaji msela mzee baba mzee mwenzetu kijana
Hapa utapokea Kila ushauri ila kiufundi ulishafeli mwanzo .
1:Fanya yako ikiwezekana usile hata chakula chake yaani ishi Kama umevurugwa.
2:Amua kiume safirisha kwao Kama atatoka kwao akapange sawa.
3:Ukiweza Fanya maamuzi kutokana na comment s za humu ujue UMESHAKUA na mapenzi hayatakubabaisha tena.

Lakini ukishindwa kuamua moja mpaka unakufa utateseka tu na huna Cha kumfanya.
 
Mwanangu mshikaji msela mzee baba mzee mwenzetu kijana
Hapa utapokea Kila ushauri ila kiufundi ulishafeli mwanzo .
1:Fanya yako ikiwezekana usile hata chakula chake yaani ishi Kama umevurugwa.
2:Amua kiume safirisha kwao Kama atatoka kwao akapange sawa.
3:Ukiweza Fanya maamuzi kutokana na comment s za humu ujue UMESHAKUA na mapenzi hayatakubabaisha tena.

Lakini ukishindwa kuamua moja mpaka unakufa utateseka tu na huna Cha kumfanya.
Mkuu, si kwamba wengi hilo wazo hawana. Si wengine unakuta hata vyumba kila mmoja ana chake? Wakati mwingine unaacha pesa watoto wakaandaliwe chakula unakuta hamna kitu? Wakiuliza wanaishia kusonywa tu!!! Mara zote waliokwisha zaa,wanaishi kimtindo tu kwa faida za watoto. Na kibaya zaidi hao wa hivyo,kulea wenyewe hawawezi. Na mwanaume anaangalia anaanzaje kupanga huku amejenga,haelewi.

Ingelikuwa ni kama likizo kama watoto wanasoma,unapeleka watoto kwa bibi yao, then utajua pa kwenda. Wiki ikikata tu, utajua hapa na shoka ntakula nisipokuwa makini.

Japokuwa ukiona dalili, bora tu upangue gia,ujue wanao wataishije.
 
Ukifuatilia hata maisha ya wakwe zako, utagundua baba yake ameamua kuwa lofa ili ndoa yao isimame.

Mwanamke akitoka kwenye mstari utamjua tu kwa matendo yake. Hawewezagi kuficha.

Natanguliza pole kedekede. Kwako na kwa wanao.
 
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.

Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.

Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.

Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.

Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.

Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.

Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.

Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.

Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Pole sana mkuu
 
Hizi habari zimejaa sana kwenye jamii yetu.
Hao ndio wanawake wetu wa sasa. Infact ukisikia anayosema mke wako yawezekana yeye anajidai ndio kakuwezesha.
Jiulize janga la masingo maza mitaani?
NI SHIDA KWA KWELI....
 
Back
Top Bottom