Mke wangu ananiletea Usuperstar

Mke wangu ananiletea Usuperstar

Amuache kwa ujumbe mfupi tu wa maneno wala asihangaike na ndugu maana keshasema ni baba yake tu ndo muelewa.

"Hii ndoa nimeivunja, upo huru, Sikuhitaji"

Akishatuma asipokee simu zake, ila ndugu wakipiga ni sawa kupokea. Kama ukijua kakusaliti kingono Usimrudie hata ndugu au yeye atambae kwa kilio, yaani hata Putin wa Urusi akikupigia simu kujaribu kuwasuluhisha mkatie na umblock.
yaani hata Putin wa Urusi akikupigia simu kujaribu kuwasuluhisha mkatie na umblock.

😂😂😂😂
 
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.

Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.

Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.

Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.

Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.

Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.

Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.

Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.

Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
🤗Mke hasomeshwi Baba,...ila nakupa pole.
 
Kama anajua kuendesha gari na unamiliki gari legeza hizo breki za gari halafu mpe aendeshe ili akapate ajali apate ulemavu au atangulie akhera kabisa asikuletee dharau wewe ulimtoa matopeni na yeye leo anajiona 💎
 
Katika vikao vyote vya wanaume Ajenda kuu tunayo ipigia kelele kila siku ni kwamba "Mwanamke Hasomeshwi"

Mkuu ulikuwa una hudhuria vikao kweli?[emoji28]
 
Anasumbuliwa na Ego ndo ina-mdrive then na wewe the same Una Ego .

Cha kufanya mtafute mentor mzuri aongee naye then huyo mentor aongee na wewe pia

Elimu, kazi, pesa n.k ni vitu ambavyo umbadilisha MTU ambaye hana low self-esteem na lack of awareness hivyo Ego itawameza endapo msipotafuta wataalamu Wa akili na na negative Emotions

Pia karibu Sana if you real suffer tukusaidie .

Familia yako itapendeza ikiwa na Baba Mama na watoto without divorce so don't blame ur wife and don't blame ur self to choose her in ur lifetime.

Welcome for mentorship.
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.

Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.

Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.

Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.

Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.

Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.

Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.

Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.

Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
 
Mtoa mada imekula kwako. Elimu zinatolewa humu hamuelewi mnajifanya lava lava
1. Mwanamke hasomeshwi
2. Mwanamke hawezeshwi
3. Mwanamke hapewi options nyingi
4. Mwanamke haonewi huruma, hawana huruma
5. Mwanamke ni chombo tu cha kukustarehesha

Sasa kula chuma hicho. Pamoja na funzo hili kuna mbuzi zingine zitaendelea kuwawezesha hawa viumbe. Vikipigwa chini vinakuja kuanzisha nyuzi za kutia huruma humu.
 
Back
Top Bottom