Mke wangu ananiletea Usuperstar

Mke wangu ananiletea Usuperstar

Makosa mawili hupaswi kuyafanya Kwa mwanamke na kama ukifanya jua ipo siku utajutia!

1. Kumuwezesha kiuchumi.
Kumtafutia kazi au kumuwezesha kiuchumi Kwa namna yoyote. Mwanamke akiwa stable kiuchumi unapoteza thamani kwake! Fanya unachoweza kumsaidia ila aendelee kuwa dependent kwako.

3. Usimsomeshe mwanamke!
Mwanamke hasomeshwi. Ukijitahidi sana kumsomesha mpeleke akasomee MAPISHI awe anakupikia Chakula home !

Sasa nyie endeleeni kujifanya mna mapenzi mengi mwisho wa siku mnakuja kulia Lia humu.

Dah nmechek sio pow[emoji119]
 
Kuna siku natembea stockholm Sweden nikapishana na jamaa anaongea kiswahili kwenye simu anang'aka akisema kama anakusumbua kwanini usimfumue tu marinda umkomoe na umpoteezee.

Nilicheka kwa sauti jamaa akageuka kuniangalia naye kuangua kicheko cha hatarii. Sikusimama nikanyoosha with stitches.

The Icebreaker
Ungesimama na kumpa hii Mwamba pamoja na kumtia moyo[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Siku moja nliandika humu
Kua

Ili uishi maisha matamu
Owa mwanamke asie na kitu!
Yaan anaejua kusoma na kuandika tu!

Mwanamke ni chombo
Ukijiskia hamu kitumie
Na kwakua ndipo unapomwaga mbegu zako basi patunze na upapende!
Full stop!

Ukimpa NGUVU mwanamke itamtesa! Kuanzia yeye hadi wewe!
Katika wanawake kumi
Ni wawili au mmoja tu anaeweza ku contro power otherwise you will suffer

You will never be happy
You will never ever smile

Don’t waste your time kumfikilia mwanamke
 
Kwa kuhubiriana uongo humu hamjambo.....usimfikirie mwanamke blaa bla mwanamke sio kitu fyo fyo fyooo hebu kesho angalia tu hapa Mmu thread kumi za siku nani kaanzisha na anamlilia nani, hakuna kama papuchi hakunaaa jazaneni upepo tu ila haka kakitu ndo mwisho wenu
 
Dunia imebadilika, zamani malazi yalikuwa ni suala la jamii nzima, siku hz malezi ni baba/mama, kimsingi kuna kitu mwamba aliona hakipo sawa kwa hyo mwanamke ndo maana akaamua kufanya hvo ili kumtoa tongotongo aweze kulea watoto vzuri,

zamani watu walikuwa wanaenda shule peku peku, kwa hyo tusiwanunulie watoto wetu viatu vya shule ili waende shule peku kama sisi?
Asilimia kubwa ya wanawake wanaenda shuleni kusoma ujinga.
 
Kwa kuhubiriana uongo humu hamjambo.....usimfikirie mwanamke blaa bla mwanamke sio kitu fyo fyo fyooo hebu kesho angalia tu hapa Mmu thread kumi za siku nani kaanzisha na anamlilia nani, hakuna kama papuchi hakunaaa jazaneni upepo tu ila haka kakitu ndo mwisho wenu
Ndio mwisho wetu na ndio maana nkasema
Mpende na umjali ila usimpe nguvu
 
Makosa mawili hupaswi kuyafanya Kwa mwanamke na kama ukifanya jua ipo siku utajutia!

1. Kumuwezesha kiuchumi.
Kumtafutia kazi au kumuwezesha kiuchumi Kwa namna yoyote. Mwanamke akiwa stable kiuchumi unapoteza thamani kwake! Fanya unachoweza kumsaidia ila aendelee kuwa dependent kwako.

3. Usimsomeshe mwanamke!
Mwanamke hasomeshwi. Ukijitahidi sana kumsomesha mpeleke akasomee MAPISHI awe anakupikia Chakula home !

Sasa nyie endeleeni kujifanya mna mapenzi mengi mwisho wa siku mnakuja kulia Lia humu.
Classmate wangu amefeli sana!
 
Mbasha naye alimsaidia Sana frola, baada ya kupata jina na pesa, Mbasha alionekana wa ovyo, mpaka Frola aliongea sio wote wanaovaa makoti meupe madaktari wengine wauza nyama buchani.
si unakumbuka pia ishu ya msanii wa bongo flavour Mabeste baada ya kumuuguza mke wake.
 
Kuna mmoja yupo karudi kwa wazazi wake na watoto wawili mwaka wa 5 sasa,demu alikuwa sister duu wa hatari sasa anaishi kama digi digi manina zake na vijana wa Boda Boda wala hawajamuacha salama, wanabadilishana namba tu, demu kaisha na kapauka hafai milo miwili tuu kwa siku inamsumbua vibaya.

Mume wake walieachana sasa hivi kashavuta chuma kingine,na nilichompendea jamaa baada ya demu kuchukua vitu vyake na kukimbilia kwa wazazi wake jamaa akauza mjengo fasta na kusepa.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
demu alimzingua jamaa aliyemuoa? kama ni hivyo hiyo ni karma.
Hawa viumbe muda kwao ndio huwa unawahukumu. Ni ngumu demu kumuacha mtu kwa nyodo akatoboa kiuchumi.
 
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.

Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.

Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.

Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.

Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.

Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.

Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.

Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.

Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Pole sana, wanawake wengi ni malimbukeni na hawajui wanachokitaka in lifetime, wengi wakishafika chuo hupumbazwa na maneno ya uongo ya mafisi, na mwisho wa siku they think they are special.
Usisomeshe mchumba
 
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.

Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.

Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.

Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.

Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.

Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.

Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.

Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.

Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Pole sana uliokota dodo kwenye mtaro baada ya kuliosha ukaweka kabatini limekatwa vipande sio lako peke yako
 
Gunia 2 tu za mkaa na 5litre za petrol then chimba shimo refu sanaaa huko kusikojulikana, mtoe out kamalize kazi kijajusi
 
Back
Top Bottom