Kinachonishangaza huyu jamaa, kama alitaka mwanamke msomi kwanini asingeenda kuchumbia mwanamke ambaye tayari ni msomi kuliko kwenda kuokota lingumbaru na kujipa kazi ya kulisomesha wakati Lina wazazi? Mbona wapo mabinti kibao tu ambao ni wasomi na wanahitaji kuolewa!?Men date down while women date up. Wanawake wa kizazi hiki kasumba yao ni kutafuta vitu vilivyo nje ta uwezo wao na juu ya uwezo wao.
Kosa ulilofanya ni kum'upgrade mwanamke wako ukiamini unafanya wema bila kujua kwa kufanya hivyo una mdhoofisha eneo la kukutii wewe.
Malengo yako sijui yalikuwa ni yapi ila ulichofanya tafsiri yake ni kwamba unataka mwanamke awe bora zaidi maeneo mje ya uhusiano wenu jambo ambalo umefanikiwa sasa kwa kumfanya ajione bora zaidi na anahitajika huko nje kuliko hapo ndani kwenu.
Msomeshe mtoto wa kiume awe na maisha bora ajenge familia bora, somesha mtoto wa kike awe na maisha bora awe single mother na kuongeza kizazi cha nyoka kwenye jamii.
Hii tabia ya ku-take advantage kwa kusolve matatizo ya mtu ambaye yuko disadvantaged muda mwingine naona imekaa kionevu sana na ni ya kishenzi na dunia Huwa inawapa malipo stahiki yao watu wa dizaini hii.