Master Kutu
Member
- Jun 8, 2021
- 77
- 174
Habari ya leo wana jukwaa wenzangu,
Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu.
Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo linalo nisumbua na hata kufanya masterbation sijui namna ya kufanya maana sijawahi hivyo nabaki na maumivu kwakweli nateseka sana
Nimeona nije hapa jukwaani kutafuta mpenzi kwa ajiri ya kusaidiana mambo mbali mbali yanayo husu maisha na mahusiano kiujumla.
Mimi naishi Dar,
Umri wangu mimi miaka 30
Kazi yangu mjasiriamali.
Sichagui dini wala kabila
Umri wake kuanzia miaka 32 nakuendelea
Awe anaishi Dar
Awe mtu anaye jali hisia za mwenzake na anajua maana ya mahusiano na mapenzi ya kweli
Aliye tayari karibu pm tuyajenge