Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

Habari ya leo wana jukwaa wenzangu,
Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu.

Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo linalo nisumbua na hata kufanya masterbation sijui namna ya kufanya maana sijawahi hivyo nabaki na maumivu kwakweli nateseka sana

Nimeona nije hapa jukwaani kutafuta mpenzi kwa ajiri ya kusaidiana mambo mbali mbali yanayo husu maisha na mahusiano kiujumla.

Mimi naishi Dar,
Umri wangu mimi miaka 30
Kazi yangu mjasiriamali.

Sichagui dini wala kabila
Umri wake kuanzia miaka 32 nakuendelea
Awe anaishi Dar

Awe mtu anaye jali hisia za mwenzake na anajua maana ya mahusiano na mapenzi ya kweli

Aliye tayari karibu pm tuyajenge

😃😃😃😃😃
 
Wee jamaa utakuwa unatafuta suger mummy sio bure yani unamiaka 30 unatafuta kuanzia 32 alafu mjenge maisha?
 
Hajui mwaka huu unatimiza umri wa miaka 52 huku mimi baby wako nikitimiza miaka 75!!! 😇

Chakushangaza tu, hatuna nyumba wala kitanda!! Ila tunapendana kama Mgambo na Kirungu!! 🥰
Mgambo na kirungu😂😂😂 mapenzi ndiyo kila kitu vitu hivo nyumba na vitanda hata chini tunalala babe, kibabu changu😂
 
Hajui mwaka huu unatimiza umri wa miaka 52 huku mimi baby wako nikitimiza miaka 75!!! 😇

Chakushangaza tu, hatuna nyumba wala kitanda!! Ila tunapendana kama Mgambo na Kirungu!! 🥰

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hajui mwaka huu unatimiza umri wa miaka 52 huku mimi baby wako nikitimiza miaka 75!!! [emoji56]

Chakushangaza tu, hatuna nyumba wala kitanda!! Ila tunapendana kama Mgambo na Kirungu!! [emoji3059]
Mkuu unasemaje[emoji848]..mkeo huyu?.Hapana,labda mchepuko

Unajua Mimi nimepewa kazi ya kumlinda na nimekula kiapo cha utiifu!!?.Mkuu kuna mtu anahudumia hapa
 
Habari ya leo wana jukwaa wenzangu,
Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu.

Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo linalo nisumbua na hata kufanya masterbation sijui namna ya kufanya maana sijawahi hivyo nabaki na maumivu kwakweli nateseka sana

Nimeona nije hapa jukwaani kutafuta mpenzi kwa ajiri ya kusaidiana mambo mbali mbali yanayo husu maisha na mahusiano kiujumla.

Mimi naishi Dar,
Umri wangu mimi miaka 30
Kazi yangu mjasiriamali.

Sichagui dini wala kabila
Umri wake kuanzia miaka 32 nakuendelea
Awe anaishi Dar

Awe mtu anaye jali hisia za mwenzake na anajua maana ya mahusiano na mapenzi ya kweli

Aliye tayari karibu pm tuyajenge

Kabla ya kutafuta huyo mtu mzima hebu tuambie kwanza, wewe binafsi unawajibika ipasavyo kama mume?

Au unafikiri maana ya kuoa ni kukulana tunda peke yake?

Maandalizi ya tunda yaanaanzia kwenye ubongo, kama hamjajengeana utayari au kama mwenzio ako na stress tunda haliliki..... ukilazimisha utaishia kum-baka tuu

Nionavyo mimi usitafute mbadala kabla hujajua mzizi wa tatizo
 
Akashangaa siku 3 zinapita nipo tu sili wala sinywi nikitoka dakika 5 najiacha mama ntilie. Siku ya nne gesi ikakata nikasema ewaaa.
😂😂😂
Mkuu, hii technique yake imeenda shule
 
Thread 'Vijana wenzangu tusio na ajira tuungane watu 10 tuunde kikundi cha ujasiriamali wa bidhaa na usafi wa mazingira pamoja na fumigation' Vijana wenzangu tusio na ajira tuungane watu 10 tuunde kikundi cha ujasiriamali wa bidhaa na usafi wa mazingira pamoja na fumigation

Ndugu yangu ajira huna. Hapo una shida times two ambazo hazitakiwa kuwa pamoja. Empty pocket and full balls.

Sasa hapo empty pocket umeona jimama ndo litasolve. Umpige uno na yeye akupige tafu.

Shubamit.
Mkuu kuhusu kazi si tatizo kwangu nimejiaajiri nafanya usafi na natengeneza dawa za kung'arishia Tiles na Masink na pesa hainisumbui nilicho post hapo ni kuungana na vijana wenzangu ili tujenge team kubwa na uzalishaji uwe mkubwa tufungue kiwanda cha umoja si kwamba sijiwezi.
Hizi ni mfano wa kazi zangu nnazo fanya za kung'arisha Tiles zilizo na uchafu sugu
Picha za
IMG-20210604-WA0000.jpg
IMG-20210604-WA0001.jpg
Kabla na baada ya kusafisha na dawa natengeneza mwenyewe ambapo pia nauza kwahyo hiyo hoja yako si sahihi mtu kutafuta watu kuungana si kuwa hana kipato
 
Unaongea tu kwakuwa hujui,mimi si wa dakika 5 kama unavo sema na nisinge weza kuweka kila kitu hapa.
Kwa ufupi ni kwamba yeye ana sema haji sikii na hana hisia mimi nakuwa nahitaji kila siku hisia muda wote zipo sasa yeye hana hisia anacho niambia issue si hizo dk.5 unazo ongea mimi niko vizuri sana mambo mengine huwezi jua ikiwa kwako kuna maelewano hongera usifikirie swala hilo kuwa ni changamoto japo kweli inawasababishia watu baadhi Ila si mimi na nna uhakika 💯% hana huyo mtu unaye mtaja muda wote yuko nyumbani napia simu yake hamna anaye tuma sms wala kupiga nna uwezo wa kushinda na simu take na hakuna chochote nayeye hana number za simu za watu nisio wafahamu.Changamoto inayo msumbua ni kuwa hana hisia si kwamba ana mtunzia mtu hilo si kweli.

Mkuu kuhusu kazi si tatizo kwangu nimejiaajiri nafanya usafi na natengeneza dawa za kung'arishia Tiles na Masink na pesa hainisumbui nilicho post hapo ni kuungana na vijana wenzangu ili tujenge team kubwa na uzalishaji uwe mkubwa tufungue kiwanda cha umoja si kwamba sijiwezi.
Hizi ni mfano wa kazi zangu nnazo fanya za kung'arisha Tiles zilizo na uchafu sugu
Picha za View attachment 1837663View attachment 1837664Kabla na baada ya kusafisha na dawa natengeneza mwenyewe ambapo pia nauza kwahyo hiyo hoja yako si sahihi mtu kutafuta watu kuungana si kuwa hana kipato
Okay Mkuu all the best.

Nipo natafuta ugomvi hapo kwako nimefeli aisee.

Acha nisake sredi ingine🤣🤣
 
Unaongea tu kwakuwa hujui,mimi si wa dakika 5 kama unavo sema na nisinge weza kuweka kila kitu hapa.
Kwa ufupi ni kwamba yeye ana sema haji sikii na hana hisia mimi nakuwa nahitaji kila siku hisia muda wote zipo sasa yeye hana hisia anacho niambia issue si hizo dk.5 unazo ongea mimi niko vizuri sana mambo mengine huwezi jua ikiwa kwako kuna maelewano hongera usifikirie swala hilo kuwa ni changamoto japo kweli inawasababishia watu baadhi Ila si mimi na nna uhakika 💯% hana huyo mtu unaye mtaja muda wote yuko nyumbani napia simu yake hamna anaye tuma sms wala kupiga nna uwezo wa kushinda na simu yake na hakuna chochote nayeye hana number za simu za watu nisio wafahamu.Changamoto inayo msumbua ni kuwa hana hisia si kwamba ana mtunzia mtu hilo si kweli binafsi nna uwezo wa kwenda zaidi hata ya mara 2 kwa wakati mmoja mimi si mnyonge kiivo unavo ongea mkuu.
Mkuu dakika tano nilizoongelea sio za kushusha wazungu soma vizuri. Anyway siku ukilea watoto wa mwanaume mwenzio ndo utanielewa nachomaanisha.
 
Mkuu dakika tano nilizoongelea sio za kushusha wazungu soma vizuri. Anyway siku ukilea watoto wa mwanaume mwenzio ndo utanielewa nachomaanisha.
Watoto wawili tayari nnao kwa sasa na wote tume zaa naye tangia tuna anza safari yetu ya maisha na wote sura ya baba hakuna kuibiwa wote chata yangu
 
Wewe shida yako ni moja tu huna hela sasa mje kama kakushinda mkecea njee utamuweza? Waulize wabaume wenye michepuko humu wakupe ukweli.

Kama huna hela mkeo ndo anaweza kukuvumilia tu, ila mchepuko sahau.mchepuko anachokitaka kwako ni kumtimizia kila kitu je uko tiyari.

Umezunguka sana haiwezekani eti mkeo anakunyima tunda bila sababu.

Hivi unadhani walosema pesa ni sabuni ya roho walikuwa wanadanganya?
 
Sina tatizo la kiuchumi mimi ni mjasiriamali nafanya shughuri zangu za uhakika na nna nyumba yangu nime jenga kwahyo kwa hoja yako si kweli nna uhakika wa kuingiza pesa kila siku
 
Mbona unatetereka na sababu ndogo sana hiyo usijipe tabu kwa mwanamke wa aina hiyo kaa kiume acha kulia lia
 
Ukute unanuka mdomo halafu unampandia tu bila maandalizi yoyote. Kiufupi unaboa humvutii kwa chochote, kafubaa hata chupi humnunulii, unahudumia familia ipasavyo kweli? Yaani una mambo mengi yanaboa ukute mbabe mbabe bila sababu.
Jamani mi bado nina usingizi narudi kulala
 
Back
Top Bottom